Monday, July 26, 2010

Kikosi cha 2010/11
Klabu ya Yanga imetangaza kikosi chake cha msimu wa 2010/11. Wachezaji hao ni Ivan Knezevic(Serbia), Yaw Berko(Ghana), Nelson Kimathi, Shadrack Nsajigwa, Salum Telela, Stephen Mwasika, Abuu Ubwa Zuberi, Nadir Haroub, Isaac Boakye(Ghana), Mohammed Mbegu, Chacha Marwa, Ibrahim Job na Ernest Boakye(Ghana).

Wengine ni Nurdin Bakari, Omega Sunday Seme, Godfrey Bonny, Athuman Iddi, Yahaya Tumbo, Kigi Makasi, Abdi Kassim, Kenneth Asamoah(Ghana), Jerson Tegete, Nsa Job, Iddi Mbaga, Shamte Ally, Razak Khalfan na Fred Mbuna.

5 comments:

MASEBE said...

Bwana CM KWA SASA MAMBO YA UCHAGUZI YAMEPITA.NAOMBA NIKUULIZE SWALI AMBALO LINANISUMBUA.
HILI BARAZA LA WADHAMINI LINA KAZI GANI,NA WAJUMBE WAKE NI WANGAPI. KWANI MPAKA SASA NIMEWASIIA WATATU TU YAANI MANJI, MAMA KARUME NA KIFUKWE

Anonymous said...

mimi ni mpenzi wa yanga sitoe hata senti tano kuisaidia yanga kwa sababu iziozuilika,lakini nawashukuru wale viongozi waliochaguliwa na nawombea kila la kheri kuiongoza klabu ninayoipendaya yanga sasa hofu ya wakina mpondela s and ze grup ,sijui wanataka nini?ila wakati wake alifanya nini? cha kukubukwa????????????????????

Anonymous said...

nakuunga mkono mjumbe uliyeuliza swali kwa Mpondela. pamoja na kutokumbukwa bado wao wanaotaka kuanzisha sokomoko hata 200 hawafiki. kwa hiyo kama wangepiga kura wanaemtaka wao angepata kura mia 5 tu! sasa ushabiki huo wa nn?! kama wanataka kazi Ynga waandike barua ya kuomba kazi. ndhani njaa imewazidi!

Anonymous said...

cm vipi leo mechi yetu ya kirafiki?

Anonymous said...

tumeshinda 4-1