Thursday, July 08, 2010

Uchaguzi wa Yanga

Kampeni zaanza rasmi

Kinyanganyiro cha kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya klabu ya Yanga kinaendelea na hivi sasa wanachama mbalimbali waliopitishwa kugombea nafasi hizo kuanza kampeni.

Francis Kifukwe na Abeid Abeid "Falcon" ambao mwanzoni waliondolewa na kamati ya uchaguzi ya klabu hiyo, hivi sasa nao wapo katika kampeni baada ya kushinda rufaa zao katika kamati ya rufaa ya TFF.

Wanaowania nafasi hizo ni kama ifuatavyo:

Mwenyekiti
1. Lloyd Nchunga
2. Abeid Abeid
3. Edgar Chibura
4. Mbaraka Igangula
5. Francis Kifukwe

Makamu wa Mwenyekiti
1. Ayoub Nyezi
2. Constatine Maligo
3. Davis Mosha

Wajumbe wa kamati ya Utendaji
Yusuf Yasin, Robert Kasela, Shaban Mohamed, Omary Ndula, Atufwigwegwe Mwakatumbula, Evance Matee, David Peter, Majid Simba, Mzee Yusuf, Ramadhan Kampira, Edgar Fongo, Jackson Maagi, Mwinyi Mangara, Hamis Ambari na Mohamed Bhinda.

Wengine ni Isaac Mazwile, Paul Malume, Sarah Ramadhan, Salim Rupia, Dk. David Luhago, Titto Ossoro, Charles Mugondo, Ally Mayay, Pascal Kihanga, Ismail Idrissa, Lameck Nyambaya, John Mayala, Theonest Rutashoborwa na George Manyama.

Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya Sabasaba tarehe 18 Juali mwaka huu

1 comment:

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___