Tuesday, August 17, 2010

Ngao ya Hisani

Viingilio vyatajwa
Viingilio vya pambano la Ngao ya hisani kati ya Simba na Yanga litakalopigwa Agosti 18 vimetajwa ambapo kiingilio cha chini ni 5000/=.


VIP A .........40,000/=
VIP B..........30,000/=
VIP C..........20,000/=
ORANGE STRAIGHT 15,000/=
ORANGE CURVED 10,000/=
BLUE ROUND 7,000/=
GREEN ROUND 5,000/=

1 comment:

Anonymous said...

tunataka fair play,na wacheze kiungwana kwasababu nchi yetu ni ya amani .all the best both teams.