Blogu binafsi kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga popote pale ulimwenguni kubadilishana mawazo na kupashana habari
Na leo mshindwe kufunga ha ha ha
mapaka sasa bado bila bilaKagera 0 - 0 SimbaYanga 0 - 0 A.Lyon
Simba 1 - Kagera 0Dakika ya 24 Rashid Gumbo
cm tumefungwa ??? mbona kimya hata kama tumefungwa tupe rada
Cm weka ukweli kaka.
Yanga chama langu ushindi muhimu
jamaa hebu tupeni matokeo huku hatupati radio yeyote ya nyumbani
ukiona hivyo tumechapwa poa yetu mazoea kumfunga ssssimba 2
mpira unaendelea ni 1-1
Haya sasa droo nyingine.mtamchapa bakora papic au mtafukuza tmu nzima.ohh
fulltime 1-1
Full time;Yanga 1 vs Lyon 1Simba 2 vs Kagera 0 ( gumbo magoli yote)
Inamaana kumfunga mnyama ka2achia nuksi,inaniuma saaaana
Siyo mbaya
cm leo vipi umekata tamaaa tupe mpya tumeshazoea usijali
cm uupoooooooooooooooooooooooooooooooooo
yanga kasinda 2-0,nudrin bakari goli la kwanza
Post a Comment
17 comments:
Na leo mshindwe kufunga ha ha ha
mapaka sasa bado bila bila
Kagera 0 - 0 Simba
Yanga 0 - 0 A.Lyon
Simba 1 - Kagera 0
Dakika ya 24 Rashid Gumbo
cm tumefungwa ??? mbona kimya hata kama tumefungwa tupe rada
Cm weka ukweli kaka.
Yanga chama langu ushindi muhimu
jamaa hebu tupeni matokeo huku hatupati radio yeyote ya nyumbani
ukiona hivyo tumechapwa poa yetu mazoea kumfunga ssssimba 2
mpira unaendelea ni 1-1
Haya sasa droo nyingine.mtamchapa bakora papic au mtafukuza tmu nzima.ohh
fulltime 1-1
Full time;
Yanga 1 vs Lyon 1
Simba 2 vs Kagera 0 ( gumbo magoli yote)