Monday, January 24, 2011

Ligi Kuu ya Vodacom

Yanga vs Polisi Dom
Yanga leo ina nafasi ya kuzidi kupaa katika msimamo wa ligi kuu ya Vodacom pale itakapoikaribisha Polisi Dodoma katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Yanga inaongoza ligi hiyo kwa kujikusanyia jumla ya pointi 28 ikiwa ni pointi moja mbele ya watani wao wa jadi Simba.

3 comments:

Anonymous said...

jamaa bado hamna matokeo

Anonymous said...

Hongera yanga

Benny wissa said...

Yanga juu zaidi