Wednesday, July 06, 2011

KOMBE LA KAGAME

Yanga yatinga nusu fainali

Yanga ya Tanzania imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Kagame baada ya kuifunga Red Sea ya Eritrea kwa penati 6-5.

Timu hizo mbili zilishindwa kufungana katika dakika 90 za mchezo hivyo kulazimika kutafuta mshindi kwa njia ya matuta.

Penalti za Yanga zilipigwa na
Shadrack Nsajigwa
Rashid Gumbo
Kiggi Makassy (alikosa)
Kenneth Asamoah
Davies Mwape
Nadir Haroub
Nurdin Bakari

Yanga sasa itakutana na St. George ya Ethiopia katika nusu fainali siku ya Ijumaa.

7 comments:

Anonymous said...

nina wasiwasi na berko sifichi.

Anonymous said...

kila la kheri leo tunataka vijana wafanye kweli ili mnyama achinjwe fainali

Anonymous said...

Musubiri kichapo tu leo, hamutoki kwa st. George.

Anonymous said...

Mpira umeanza km dk 10 zilizopita.
Matokeo yanga 0 St. George 1
tutawaletea matokeo kadri yatakavyobadilika

Anonymous said...

liar

Anonymous said...

we usingizi kweli kweli

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___