Wednesday, July 06, 2011

KOMBE LA KAGAME

Yanga vs Red Sea

MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga muda mfupi ujao inaingia uwanjani kupambana na Red Sea ya Eritrea katika mchezo wa robo fainali ya kombe la Kagame.

4 comments:

Anonymous said...

kila la kheri wanajangwani...hamna kurudia kosa.hebu tujulishe ile mechi ya kwanza.

Anonymous said...

dakika 90 zimemalizika kwa sare ya 0-0

matuta sasa

Anonymous said...

Ok, Yanga is out...wow

CM said...

YANGA IMESHINDA KWA MATUTA