Thursday, June 30, 2011

KAGAME CUP 2011

Yanga yaichapa Elman 2-0

MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga imeichapa Elman ya Smmalia kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kombe la Kagame 2011 uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga yalifungwa na Davis Mwape (dk. 27) na Hamisi Kiiza (dk.90)

8 comments:

Tina said...

Vijana wa jangwan wanaongoza kwa goli 2 mpak sasa dhidi ya bunda mwaya ya uganda,mpira unaendlea

Anonymous said...

waacha ujinga babu huna job?

Anonymous said...

jamaa bado hamna matokeo?

Anonymous said...

Mpira umeisha tumefungwa 1, unajua hatukuwa na maandalizi mazuri.

Anonymous said...

Baada ya watani wao Simba kushinda 2-0 katika mchezo wa awali leo mchana, Yanga nao wameshinda kwa kuitandika Bunamwaya ya Uganda bao 3 -2 jioni hii katika michuano ya Kombe la Kagame… hebu muache uongoblog si yenu mnakazana kuandika yasio wahusu

Anonymous said...

si unajua fisi wako everywhere

Tina said...

Ukiona hvyo ujue simba hao wote..hongera wana yanga japo inabdi 2jitahd maana mpira wa leo mh!inabdi 2jitahd maana mpira wa leo mh!

discipline said...

Pak job Ads and advertisements for Karachi,Lahore,Quetta,Peshawar,Multan,Hyderabad,Rawalpindi,Islamabad and http://allpkjobz.blogspot.com all cities of Pakistan.