Friday, July 08, 2011

KOMBE LA KAGAME

Yanga yatinga fainali

MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga imetinga katika fainali ya kombe la Kagame baada ya kuichapa St. George ya Ethiopia kwa mikwaju ya penati 5-4.

Timu hizo mbili zilishindwa kufungana katika dakika 90 na hata katika muda wa nyongeza wa dakika 30 bado mambo yalikuwa 0-0.

Penati za Yanga leo zilipigwa na:
Shadrack Nsajigwa (alikosa)
Nadir Haroub
Juma Seif
Davies Mwape
Hamis Kiiza
Nurdin Bakari

6 comments:

Anonymous said...

yanga imara sasa tunataka tumalize ubishi kua hatukiikimbia simba kwasababu wanangoma bali ilikua ni kwaajili ya maslahi yatimu sababu hawa cecafa ofa tuliowapa ili tuingize timu. jengine kwanini hamtutilii video za mechi za yanga humu?

Anonymous said...

simba unakufa j2 ,bisha ulikua unaogopa kukutanana yanga sio?3-0 utaona

Tina said...

Yanga timu i wish u all the best on sunday,hao wanaosema 2nabebwa ndo wautajua msemo wa CHAPA ILALE

Joachim Oisso said...

Nimejaribu ku-browse mtandao wetu-yanga Afrika lakini bado haupo up-to-date! Admin ajaribu juweka angalao mambo machache tuwe wa kileo!!!!!

Anonymous said...

unaweza kutoa mfano wa hayo mambo ya kileo?

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___