Thursday, March 22, 2007

Samahani ndugu wadau

Kwa siku 3 mambo hayakuwa mazuri katika mtandao hapa nilipo nashukuru Mungu mambo yametengemaa na nimerudi tena.

Mambo yanaendelea pamoja na tetesi kwamba kuna mtu anatishia kunishitaki (sijui wapi???) Kaaaaaazi kweli kweli.

No comments: