Wednesday, March 07, 2007


Yanga safarini Bondeni

Mabingwa wa soka Tanzania, leo wanatarajia kukwaa pipa kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kujiandaa na pambano la marudiano dhidi ya Petro Athletico ya Angola.

Yanga ambayo itakuwa huko SA kwa wiki 2 chini ya mtaalamu kutoka Serbia Milutin Sredojevic, itaondoka na kikosi chote ili kujiandaa kikamilifu.

Kila la heri Young Africans.


No comments: