Thursday, March 01, 2007

Yanga sasa FULL MUZIKI...!!!!

Wachezaji wa Yanga ambao walikuwa na Timu ya Taifa (Taifa Stars) huko nchini Brazil wamerejea hapo jana.

Wachezaji waliorejea jana ni Ivo Mapunda, Shadrack Nsajigwa "Fuso", Yusuf Hamis 'Waziri wa Ulinzi", Nadir Haroub "Cannavaro", Said Maulidi "SMG", Abdi Kassim "Babi" na Gaudence Mwaikimba. Mchezaji Amir Maftah amebaki huko Brazil kwa vile usajili wake katika michuano ya CAF haujakamilika.

Sasa kikosi chetu kipo FULL NGWAMBA bila shaka Jumapili hao Waangola watakuwa wadogo.

Mungu Ibariki Yanga na mashabiki wake.

No comments: