Monday, April 16, 2007

Yanga, Moro United 0-0

Yanga imeanza kutetea taji lake la ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa kutoka sare ya 0-0 dhidi ya Moro United katika mchezo wa ligi ndogo ya TFF iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid - Arusha.

1 comment:

Anonymous said...

Kwatuliokuwepo Mwanza na mazungumzo tuliyofanya pale La Cairo Hotel baada ya mechi nafikiri ni muda muafaka Micho asikumbatie majina ya wachezaji UMALIZIAJI UMEKAA VIBAYA jamani ni vema asiachiwe peke yake upangaji wa timu akubali ushauri. SUDAN NI WETU .