Monday, June 11, 2007

5 wateuliwa kuingia Kamati ya Utendaji

Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha soka nchini (FAT) - sasa TFF , Ally Hassan Mwanakatwe ni mmoja wa wajumbe 5 walioteuliwa kushika nafasi ya ujumbe wa kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga.

Wengine walioteuliwa kushika nafasi hizo ni Hashim Lundenga, Emmanuel Mpangala, Ibrahim Didi na Clemence Sanga.

No comments: