Thursday, August 02, 2007

Mtibwa Sugar yafungua njia kwa Yanga

Mtibwa Sugar jana imeifungulia njia Yanga katika michuano ya Tusker baada ya kuichapa SC Villa ya Uganda 2-1 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Yanga sasa inahitaji sare katika mchezo wake dhidi ya Mtibwa Sugar siku ya Jumapili ili iingie katika hatua ya nusu fainali.


No comments: