Thursday, August 02, 2007

NAOMBA DUA ZENU NDUGU ZANGU


KWA HESHIMA NA TAADHIMA NINAPENDA KUWATANGAZIA NDUGU ZANGU KWAMBA HAPO JUMAMOSI - AGOSTI 4, 2007, NINATARAJIA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM.

KWA HALI HII SITAKUWEPO KWA MUDA HAPA KATIKA BLOGU HII KUTOKANA NA U-BIZE HIVYO BASI NAAMINI TUTAKUWA PAMOJA HAPA BLOGUNI MARA BAADA YA KUTOKA MAPUMZIKONI.

NINAOMBA DUA NJEMA KUTOKA KWENU ILI SHUGHULI HII IFANIKIWE.

PIA NINGEPENDA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOTOKEA NA ULIOTOKEA KATIKA WIKI HIZI CHACHE.

MUNGU AWABARIKI NYOTE!!2 comments:

Anonymous said...

Wow, Hongera saana in advance.

Sasa mbona hukutwambia mapema?..:)

Anyway, tunakutakieni kila la kheri ktk ndoa yenu na karibu kwenye klab.

Tutashukuru pia ukituwekea picha za event yenyewe afterwards, japo tushiriki remotely.

Mungu awabariki.

Anonymous said...

WEWE NI NANI ULIYETOA TANGAZO HILI BILA KUTAJA JINA LAKO ?????????????