Tuesday, September 11, 2007

Hatma ya Micho leo
.....mwenyewe ajing'atua

Hatma ya kocha mkuu wa Klabu ya Yanga Sredojevic "Micho' itajulikana leo, baada ya Kamati ya Utendaji ya Klabu hiyo kukutana Jijini Dar leo hii. Hata hivyowakati kamati hiyo ikijiandaa kukutana, kuna habari kwamba kocha huyo amejing'atua kufundisha timu hiyo.
Mengi zaidi tutayasikia mara baada ya kikao cha Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo.

No comments: