Friday, October 12, 2007

Msimamo wa ligi

Baada ya ushindi wetu wa 2-0 dhidi ya Toto Africa hapo jana, angalau sasa tunatazamika katika msimamo wa ligi kuu ya Vodacom.P W D L F A GD PTS
1 PRISONS 6 6 0 0 14 4 10 18
2 POLISI MORO 6 3 3 0 4 0 4 12
3 KAGERA SUGAR 6 2 3 1 4 1 3 9
4 YANGA 6 3 0 3 5 3 2 9
5 JKT RUVU 6 2 2 2 7 6 1 8
6 ASHANTI UNITED 6 2 2 2 3 3 0 8
7 MORO UNITED 6 2 2 2 3 3 0 8
8 COASTAL UNION 6 2 1 3 4 6 -2 7
9 MTIBWA SUGAR 6 2 1 3 4 6 -2 7
10 SIMBA 6 1 3 2 4 4 0 6
11 POLISI DODOMA 6 1 3 2 5 7 -2 6
12 TOTO AFRICA 6 1 3 2 3 5 -2 6
13 MANYEMA 6 0 4 2 3 6 -3 4
14 PAN AFRICA 6 0 3 3 5 10 -5 3

Kidogo kidogo mpaka kieleweke hapo kileleni.


4 comments:

MOSONGA said...

Asante kwa hizi habari za Yanga. Kiu yangu ya kutafuta habari za Yanga kila siku imepata maji au kinywaji baridi!
Kumbe wapenzi wa Yanga tuna pa kukutania na kubadilishana mawazo!
Ndio nimeanza leo kwa hiyo nina mzigo wa kusoma habari zilizokwishapita.

Anonymous said...

Karibu, hapa ndio nyumbani (Jangwani ya mtandaoni).

JZah

kibunango said...

Ni baab kubwa kuwepo na kijiwe cha Yanga... Kazi nzuri

Anonymous said...

Vipi mechi ya leo na Mtibwa?

Maana habari za migogoro ndio zimetawala magazeti!