Friday, October 26, 2007

Msimamo wa ligi

Hadi sasa mambo si mazuri sana kwa upande wetu kama mnavyojionea wenyewe kwenye msimamo wa ligi.P W D L F A GD PTS
1 PRISONS 10 7 2 1 18 8 10 23
2 POLISI MORO 10 4 5 1 9 3 6 18
3 KAGERA SUGAR 10 4 4 2 9 5 4 17
4 MTIBWA SUGAR 10 4 3 3 7 8 -1 15
5 JKT RUVU 10 3 5 2 9 7 2 14
6 SIMBA 10 3 5 2 8 6 2 14
7 TOTO AFRICA 10 3 4 3 7 8 -1 13
8 YANGA
10 3 3 4 6 5 1 12
9 MORO UNITED 10 2 6 2 3 3 0 12
10 ASHANTI UNITED 10 2 5 3 4 7 -3 11
11 POLISI DODOMA 10 1 6 3 10 13 -3 9
12 COASTAL UNION 10 2 3 5 4 8 -4 9
13 PAN AFRICA 10 1 5 4 7 12 -5 8
14 MANYEMA 10 0 7 3 3 7 -4 7

5 comments:

Anonymous said...

Mambo mawili:

1. Nadhani tutakuwa nafasi ya 8 chini ya Toto, maana wana point moja zaidi yetu.

2. Viongozi waache lawama kwa wachezaji. Tumeshafungwa na mnyama, tugange yajayo.

Hakuna sababu ya kujikosha ooh, viongozi tulitimiza wajibu wetu, oh wachezaji walicheza chini ya kiwango.. haisaidii.

Concentration iwe kwenye mechi zinazokuja.

Anonymous said...

Angalia GD ya timu ya Prisons ktk msimamo nadhani inahitaji marekebisho!!!

CM said...

Yanga leo imeibuka na ushindi wa 1-0 bao likifungwa na Maurice Sunguti ktk dakika ya 12.

Wenzetu Simba leo wamelambwa 3-2 na Toto Africa

Anonymous said...

Haahaaaaa...

Majigambo ya Julio watakuwa yameishia wapi?

Tuangalie yajayo sii yaliyopita. Kwa msimamo huo tutakuwa juu ya Simba kwa point ...

Victor said...

Yeah,
kinachotakiwa hapa ni kusonga mbele na huko mbeleni kuwa waangalifu mno na program zetu.Sidhani kama inasaidia kuanza kutafuta kocha wakati ligi ishafikia half way, then kiongozi unalaumu wachezaji tu!wangejilaumu hata wao kwa kutotimiza wajibu wao ingawa na hapo pia wachezaji hawawezi kukwepa lawama. Tuache kuwatisha wachezaji and let them get on with their work, juhudi zaidi zinahitajika na wala mtu asidanganyike hawa Prisons wanafungika tu hapa Mbeya maana wakati mwingi wanacheza mpira wa kawaida tu so Yanga wasihofu sana wacheze wanavyoweza!