Tuesday, October 16, 2007

Msimamo wa ligi

Huu ni msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya michezo ya mwishoni mwa juma.



P W D L F A GD PTS
1 PRISONS 7 7 0 0 15 4 10 21
2 POLISI MORO 7 3 3 1 4 1 3 13
3 JKT RUVU 7 3 2 2 8 6 2 11
4 YANGA 7 3 1 3 6 4 2 10
5 SIMBA 7 2 3 2 7 6 1 9
6 KAGERA SUGAR 7 2 3 2 5 3 2 9
7 ASHANTI UNITED 7 2 3 2 3 3 0 9
8 MORO UNITED 7 2 3 2 3 3 0 9
9 MTIBWA SUGAR 7 2 2 3 5 7 -2 8
10 COASTAL UNION 7 2 2 3 4 6 -2 8
11 POLISI DODOMA 7 1 4 2 6 8 -2 7
12 TOTO AFRICA 7 1 3 3 3 6 -3 6
13 MANYEMA 7 0 5 2 3 6 -3 5
14 PAN AFRICA 7 0 4 3 6 11 -5 4

Prisons mwaka huu si mchezo, 100% katika mechi saba. Lakini bado ligi ni ndefu na soka halitabiriki.


..............Ule Mgogoro

Kuna habari nimeisoma ambayo ningependa nanyi mpitie hapa ili kuipata.

1 comment:

Anonymous said...

Mwandishi wa hiyo makala ya Tanzania Daima ameegemea upande mmoja wa mgogoro. Hakujadili upande mwingine wa shilingi, kutueleza kama nao hawako tayari kurekebisha hizo kasoro zilizotajwa.

Yanga (na soka la bongo kwa ujumla) halitaweza kuendelea kama kama tunakumbatia tuu traditions bila kuangalia wengine walioendelea wamefanyaje!

Bado naamini si lazima timu iendeshwe na klabu, inaweza kuendeshwa na kampuni, na ikishindwa inarudishwa kwa wenyewe (klabu); tatizo liko wapi?.

Soka la sasa ni biashara na linataka watu wenye mtizamo wa kibiashara zaidi.

JZah.