Vijana wetu dimbani Nyayo
Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo inajitupa katika Uwanja wa Nyayo huko Nairobi nchini Kenya kuchuana na timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars) katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani ya nchi.
Mpira tayari umeanza huko Nairobi na katika line up ya Taifa Stars, klabu yetu ina wachezaji 5 walioanza - Fred Mbuna, Amir Maftah, Nadir Haroub, Athuman Iddi na Abdi Kassim
TAIFA STARS OYEE!
4 comments:
Mpira ni mapumziko. 0-0
Harambee Stars wamepata bao ktk dk ya 85.
1-0
TUMEPOTEZA MCHEZO KWA 1-0.
MECHI YA MARUDIANO INABIDI TUSHINDE KUANZIA 2-0. (TWO CLEAR GOALS)
Kila la heri Stars!
Post a Comment