Yanga wapitisha katiba
Wanachama wa klabu ya Yanga jana walipitisha rasimu ya katiba ya klabu hiyo bila kupingwa katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Police Officers Mess Oysterbay Jijni Dar es Salaam.
Kwa habari zaidi cheki hapa
Kwa habari zaidi cheki hapa
12 comments:
hongera wana yanga daima mbele
je hamkupitisha ile agenda ya kuikacha simba tena,
Inakuhusu nini? Mwanga wee!
vipi kifungo jamani wameachia
jamani kifungu wameachia tuanze kusherekea?
Mimi mwanayangalakini ushherekee nini???Wacha ujinga.
Mimi mwanayangalakini ushherekee nini???Wacha ujinga.
we una akili sana kuliko watu wote
inakuwaje jamani mbona hamtupi habari zilizojiri huko
MASHABIKI KAMA TIMU YENU WABISHI HALAFU MKIULIZWA MKACHE TENA
kusherekea siyo ushherekee mjinga baba yako.
Mjinga tu wewe fanya maandamano.Wajinga kama wewe ndio mnaipa jina baya timu yetu ya Yanga.
Post a Comment