Nafikiri hili ni fundisho kwa wale wote ambao wamekuwa wakipapatikia makocha wa Simba kwamba ni wazuri kuliko kocha wa Yanga.Hii hali ya kufungwa kila siku ni nani anatakiwa kulumiwa kocha au nani. Na je hizo chenga wanazo piga mwisho kufungwa zinawasaidia kitu gani.Hakuna ubishi Kondik ni kocha wakuheshimika tofauti na wasio na upeo wa soka wanavyo fikiri.Ubora wa kocha unapimwa kwa vision yake na si chenga za uwanjani ambazo haziisaidii timu kufikia malengo. Nafikiri hawa wameumbuka sasa.
Hi kaka I Younger here in EU ,kwa kweli mnyama kasha isha,wanajivunia kikosi lakini huu mwaka Jamhuri kiwelo domoo atakosa chakusema kwenye vyombo vya habari kama kawida yake! Yanga well done for to day!
15 comments:
Mnyama kakatwa kisimi ha ha ha ha
Mnyama hoi atakula nyasi mwaka huu... na kama bakora hazitatembea Msimbazi basi kocha yuko hatiani kufukuzwa....
Nafikiri hili ni fundisho kwa wale wote ambao wamekuwa wakipapatikia makocha wa Simba kwamba ni wazuri kuliko kocha wa Yanga.Hii hali ya kufungwa kila siku ni nani anatakiwa kulumiwa kocha au nani. Na je hizo chenga wanazo piga mwisho kufungwa zinawasaidia kitu gani.Hakuna ubishi Kondik ni kocha wakuheshimika tofauti na wasio na upeo wa soka wanavyo fikiri.Ubora wa kocha unapimwa kwa vision yake na si chenga za uwanjani ambazo haziisaidii timu kufikia malengo. Nafikiri hawa wameumbuka sasa.
matokeo vipi? bado hamjapata
Mechi kati ya Yanga na Moro Utd inaendelea ambapo Yanga inaongoza 2-1. Dakika 58 zimeondoka hadi sasa
CM
Mechi kati ya Yanga na Moro United imekwisha kwa ushindi wa 2-1.
CM
shukrani kwa kutupasha habari ndio hiyo
Tupe wafungaji na kama ikiwezekana line up ilivyokuwa
Hi kaka I Younger here in EU ,kwa kweli mnyama kasha isha,wanajivunia kikosi lakini huu mwaka Jamhuri kiwelo domoo atakosa chakusema kwenye vyombo vya habari kama kawida yake! Yanga well done for to day!
wafungaji ni Boniface Ambani na Ben Mwalala
Jamani yule member wa kuwait mwenye jina matata saana kapotelea wapi? ha ha ha
vipi simba keshalala tena?
jamaa vipi mechi za leo bado hamna matokeo
Jamani tupeni feedback mechi A leo naona leo hakuna update yeyote!!!
simba 2-p/dom 2
Post a Comment