Saturday, September 20, 2008

Ligi Kuu ya Vodacom

Mechi ya leo 20.09.2008
Simba vs Polisi Dodoma ..........2-2

Kesho 21.09.2008
Yanga vs Villa Squad...............?-?
Mtibwa Sugar vs Polisi Moro.......?-?

14 comments:

Anonymous said...

kila la kheri yanga.

Anonymous said...

ww cm usituzingue mbona unalala sana fanya update kaka leo tunakusikilizia siunajua porini kwetu tunategemea sana taarifa za huko home kwa mtandao

CM said...

Yanga inaongoza 2-0 kwa mabao ya haraka yaliyofungwa na Wakenya - Ben mwalala na Boni Ambani.

CM said...

3-0 sasa.

Dakika ya 22 mfungaji ni Shamte Ally

CM said...

Yanga leo imemweka golini kipa Mzungu Obrev Curkovic.

CM said...

Halftime:

Yanga 3 Villa 0
Mtibwa 0 Polisi Moro 0

Anonymous said...

matokeo vipi jamaa?

Anonymous said...

Mpira umemalizika Yanga 5 Villa 0 mabao ya mwisho yote yamefungwa na Bonifas Ambani. Mtibwa 2 Polisi Moro 0

CM said...

Mpira umekwisha kwa ushindi wa 5-0.

Boniface Ambani leo ameondoka na hat trick huku kipa wa Yanga Mzungu akifanikiwa kuokoa penati baada ya mlinzi mmoja wa Yanga kuunawa ndani ya eneo la hatari

Anonymous said...

aisee, huyu Ambani kweli ni mtambo wa magoli waungwana mnasemaje

Anonymous said...

Na waliokuwa wanasema mzungu si kitu sasa sijui leo watasemaje?

Anonymous said...

sijui nicheke au nikae chini nilie hawa yanga jamani wana nini?????

Anonymous said...

Nadhani mechi nyingine na timu ambazo hazijui mpira kama hawa au simba tusiwetunaingia uwanjani.

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___