Blogu binafsi kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga popote pale ulimwenguni kubadilishana mawazo na kupashana habari
kila la kheri yanga.
ww cm usituzingue mbona unalala sana fanya update kaka leo tunakusikilizia siunajua porini kwetu tunategemea sana taarifa za huko home kwa mtandao
Yanga inaongoza 2-0 kwa mabao ya haraka yaliyofungwa na Wakenya - Ben mwalala na Boni Ambani.
3-0 sasa.Dakika ya 22 mfungaji ni Shamte Ally
Yanga leo imemweka golini kipa Mzungu Obrev Curkovic.
Halftime:Yanga 3 Villa 0Mtibwa 0 Polisi Moro 0
matokeo vipi jamaa?
Mpira umemalizika Yanga 5 Villa 0 mabao ya mwisho yote yamefungwa na Bonifas Ambani. Mtibwa 2 Polisi Moro 0
Mpira umekwisha kwa ushindi wa 5-0.Boniface Ambani leo ameondoka na hat trick huku kipa wa Yanga Mzungu akifanikiwa kuokoa penati baada ya mlinzi mmoja wa Yanga kuunawa ndani ya eneo la hatari
aisee, huyu Ambani kweli ni mtambo wa magoli waungwana mnasemaje
Na waliokuwa wanasema mzungu si kitu sasa sijui leo watasemaje?
sijui nicheke au nikae chini nilie hawa yanga jamani wana nini?????
Nadhani mechi nyingine na timu ambazo hazijui mpira kama hawa au simba tusiwetunaingia uwanjani.
Post a Comment
13 comments:
kila la kheri yanga.
ww cm usituzingue mbona unalala sana fanya update kaka leo tunakusikilizia siunajua porini kwetu tunategemea sana taarifa za huko home kwa mtandao
Yanga inaongoza 2-0 kwa mabao ya haraka yaliyofungwa na Wakenya - Ben mwalala na Boni Ambani.
3-0 sasa.
Dakika ya 22 mfungaji ni Shamte Ally
Yanga leo imemweka golini kipa Mzungu Obrev Curkovic.
Halftime:
Yanga 3 Villa 0
Mtibwa 0 Polisi Moro 0
matokeo vipi jamaa?
Mpira umemalizika Yanga 5 Villa 0 mabao ya mwisho yote yamefungwa na Bonifas Ambani. Mtibwa 2 Polisi Moro 0
Mpira umekwisha kwa ushindi wa 5-0.
Boniface Ambani leo ameondoka na hat trick huku kipa wa Yanga Mzungu akifanikiwa kuokoa penati baada ya mlinzi mmoja wa Yanga kuunawa ndani ya eneo la hatari