Sunday, September 28, 2008

Ligi Kuu ya Vodacom

Mechi ya leo 28.09.2008
Simba vs Mtibwa Sugar ........1-0
(Obinna 81')

4 comments:

Anonymous said...

Mnyama kajivuta leo

Anonymous said...

Refa hajawabeba kweli kuepusha mauaji Msimbazi kwi kwi kwi kwi

Anonymous said...

Vipi jamani tumeanza mikakati kumkabili Mnyama..Tusijidanganye eti tutawafunga tutapokutana nao 0ktoba 26....Lazima tuwalinde mastaa wetu manake wasije wakatu rubuni....

Anonymous said...

Mnyama hana lake tena, kwa kikosi hiki cha sasa hana kwa kutokea. Magoli aliyofunga mchezaji mmoja katika mechi sita yanalingana na pointi zao zote, inatisha sana. Hata wao wanajua hilo ila wanajikaza tu, na golini safari hii mzungu watamhonga vipi hata kizungu kwao taabu.WAMEKWISHA