Tuesday, October 14, 2008

Ligi Kuu ya Vodacom

14 Oktoba 2008
Simba vs Kagera Sugar ........ 1-0
15 Oktoba 2008
Yanga vs Azam FC......... 3- 1

14 comments:

Anonymous said...

vipi wanaume wameshaingia uwanjani au bado???

Anonymous said...

mambo bado 0-0

Anonymous said...

Tunaongoza 2-1

Anonymous said...

Mabao ya Yanga yamefungwa na Boniface Ambani. Mpira bado unaendelea, tunaongoza 2-1

Anonymous said...

Dk.87 tumepata bao la 3. Mfungaji Castory Mumbala

Anonymous said...

Mpira umekwisha, tumeshinda 3-1.

CM

Anonymous said...

Mpira umekwisha, tumeshinda 3-1.

CM

Anonymous said...

Du asante kaka kwa habari hizi njema Bravo Yanga mwendo mdundo Ubingwa mapema mwaka huu

Anonymous said...

Kama kawaida wana Jagwani tunamsubiri mnyawa tumtafune kwa hamu hasa ukizingatia kipindi hichi anakula manyasi basi nguvu hana kabisaaaa

Anonymous said...

HIVI LINI TIMU ITAANZISHA WEBSITE??
WENZETU MTIBWA, APR. YANGA NI TIMU KUBWA KIDOGO KAMA HICHI MNASUBIRI MPAKA TUCHAPANE BAKORA??

Anonymous said...

NAMNA HIYO WATOTO WA JANGWANI UBINGWA MAPEMA MWAKA HUU KAZENI BUTI KWANI NI FURAHAA MAPEMA

Anonymous said...

TUNATAKA WEBSITE

Anonymous said...

Nimeona jina la kipa, sio Kaseja, huyo kipa anatoka nchi gani na anauwezo kiasi gani? (aliyedaka dhidi ya Azam)

Anonymous said...

Huyo kipa ni Mserbia, uwezo wake ni kutazama takwimu za mechi alizocheza na wale waliobahatika kumuona akiwa golini ndo wanaweza kutuambia, lakini anaonyesha kuwa na uwezo mkubwa.