Hongera vijana! tungemkosa mnyama mechi hii ingenishangaza kupita kiwango na kama tungefungwa leo basi maumivu ya roho kwa kufungwa na simba yangepotea kuanzia leo. Tulikua na sababu zote za kuwafunga hawa jamaa, idara zote zilitimia kwa mnyama kuuwawa. Hongera wana Yanga wote kwa ushindi huu, tumenyanyasika sana na vya kutosha sasa nadhani ni zamu yao kukubali matokea na wao kunyanyasika. Ntalala kwa amani leo duh! wametunyanyasa sana Simba, leo mwiko wa kunyanyaswa umevunjwa rasmi, tunaanza upya. Hongera wana Yanga wote. Mwana Yanga halisi, Japan.
Mjadala umefungwa,hatuna cha kuongeza, kwani pamoja na tambo zao wamelala, wanabahati kwa kufungwa kidogo na kikosi hiki balaa. Swali la leo nafasi yao itakuwaje kwa sababu pointi 13 walizo nazo zimepitwa mno
Tupeane hongera jamani kwa kazi nzuri iliyofanywa na wadau wote hadi tukafikia hapo.Tunakushukuru bwana CM kwa kazi nzuri unayofanya tanafarijika wote, tulio ndani na nje ya nchi.Kuna maoni yametolewa na ndugu wa huko nje nafikiri ukiyafanyia kazi itatusaidi sana. Waone hao akina Mwakalebela na wengine waliotajwa ilikuboresha blog yetu.Pia tunaomba msimamo wa ligi uwepo kila wakati.YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
28 comments:
Duh! Mzee naona na wewe hujalala kama mimi umeposti 5:46am. Kila ra heri vijana wetu tupeni raha leo.
Mbona nasikia mechi hakuna????
Mechi ipo Mnyama hatoki atake asitake
Mungu Ibariki Simba,Mungu Ibariki Africa,Mungu Ibariki Tanzania...Amen
Jamani mambo yameanza, dakika ya 15 Mwalala ameipatia Yanga goli la kwanza
hivi nani amekaa golini kwa upande wa Yanga?
CM update?
Bado ni goli lile lile
List ya Mabingwa
1.Circovik
2.Nsajigwa
3.Nurdin
4.Canavaro
5.Owino
6.Bon
7.Ngasa
8.Idd
9.Ambani
10.Mwalala
11.Shamte
Hicho ndicho kikosi cha nguvu
shukurani
what is going on? mwenye blogu uwe unatupa updates kila dakika please
kalala anakula kunde ha ha haha
Ebana vipi huko matokeo?
mpira umekwisha Mnyama kalala
mbona hakuna upadate mwenye blog vipi eti kweli unakula kunde
Hivi unafikiri anasingiziwa ha ha ha kwa maharage ni mwenyewe si unajua hadhara ya maharage siendeleei majibu unayo
Hongera vijana! tungemkosa mnyama mechi hii ingenishangaza kupita kiwango na kama tungefungwa leo basi maumivu ya roho kwa kufungwa na simba yangepotea kuanzia leo.
Tulikua na sababu zote za kuwafunga hawa jamaa, idara zote zilitimia kwa mnyama kuuwawa.
Hongera wana Yanga wote kwa ushindi huu, tumenyanyasika sana na vya kutosha sasa nadhani ni zamu yao kukubali matokea na wao kunyanyasika.
Ntalala kwa amani leo duh! wametunyanyasa sana Simba, leo mwiko wa kunyanyaswa umevunjwa rasmi, tunaanza upya.
Hongera wana Yanga wote.
Mwana Yanga halisi,
Japan.
Duu si mchezo nimefurahi sana uteja basi hongera wanajangwani wote mdau CUBA
Mjadala umefungwa,hatuna cha kuongeza, kwani pamoja na tambo zao wamelala, wanabahati kwa kufungwa kidogo na kikosi hiki balaa. Swali la leo nafasi yao itakuwaje kwa sababu pointi 13 walizo nazo zimepitwa mno
Weeweeeeeeeeeeeeee!!!!
Mnyama kachomwa mkuki wa loho, chaaliiiiii!!!
Confirmed! Mnyama kalala.
Ndugu wadau awali ya yote naomba radhi kwa kutoweza kuwasiliana nanyi nikiwa ndani ya Uwanja wa Taifa wakati mchezo unaendelea.
Hata hivyo yote heri kwa vile tumeshinda baada ya miaka 8 ya kunyanyasika.
Nawashukuru wale wote hasa Masebe ambaye alikuwa akiwadondoshea habari.
CM,
Sasa si tupe analysis ya mchezo wote ulikuwaje? au unasubiri magazeti yaandike u copy na ku paste? kazi kweli kweli
mashabiki na wanachama wa simba mkiandika kwenye blog hii muwe na heshima ,yaani nafikiri hata nyumbani wageni wakija hamna heshima hata kidogo.
Jamani kuna website au blog yoyote ambayo imeweka picha? Nimeon mbili kwenye global publishers. Msaada please.
wanayanga wenzangu nadhani sasa lengo liwe ni kuchukua ubingwa wa afrika.
Anon wa Oct 26, 2008 8:37:00 PM naomba uwe mtu wa shukrani zaidi ya hivi unavyom-critisize CM.
CM endelea na kazi, hao wameshafungwa wanatafuta pa kumalizia hasira zao.
Tupeane hongera jamani kwa kazi nzuri iliyofanywa na wadau wote hadi tukafikia hapo.Tunakushukuru bwana CM kwa kazi nzuri unayofanya tanafarijika wote, tulio ndani na nje ya nchi.Kuna maoni yametolewa na ndugu wa huko nje nafikiri ukiyafanyia kazi itatusaidi sana. Waone hao akina Mwakalebela na wengine waliotajwa ilikuboresha blog yetu.Pia tunaomba msimamo wa ligi uwepo kila wakati.YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Post a Comment