Saturday, December 13, 2008

TAIFA STARS 2 SUDAN 1
Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania imefanya kweli huko Sudan baada ya kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini na hivyo kuitoa Sudan kwa jumla ya 5-2.

Mabao yaliyofungwa na Henry Joseph na Nurdin Bakari yatakumbukwa sana katika historia ya kandanda nchini kwani mabao yao ndiyo yanayoipeleka Taifa Stars katika fainali za michuano ya kwanza ya timu za Taifa zinazoundwa na wachezaji wa ligi za ndani zitakazofnyika huko Ivory Coast mwezi February mwakani.

2 comments:

Anonymous said...

Hongera Taifa Stars na watanzania wote. Matunda ya strategy za Maximo yanaonekana.

Watanzania tujifuze kuwa mafanikio ktk soka hayaji kwa siku moja!

CM Shukurani kwa Live coverage!

Anonymous said...

Sir Tenga ameshinda.... sasa tujipange kwa kombe la Africa.