Blogu binafsi kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga popote pale ulimwenguni kubadilishana mawazo na kupashana habari
Sunday, January 18, 2009
Msimamo wa ligi kuu ya Vodacom
Huu ni msimamo wa ligi kuu ya Vodacom baada ya mechi za wikiendi hii.
6 comments:
Anonymous
said...
Kama Kagera watachemsha tena basi tunahitaji mechi nne kwa mabingwa ila mpaka sasa tunahitaji mechi sita na hakuna timu ambayo itaweza kutufikia ila utabiri wangu ni kwamba baada ya kushinda mechi nne tutakuwa mabingwa.
Jamani ya kweli hayo? ..., acheni kutupandisha pressure huku..., hebu tupeni habari kamili. Cm tunaomba fixture yote ya Raundi ya Pili.., kama Ngumu basi angalau mechi za Yanga tu
6 comments:
Kama Kagera watachemsha tena basi tunahitaji mechi nne kwa mabingwa ila mpaka sasa tunahitaji mechi sita na hakuna timu ambayo itaweza kutufikia ila utabiri wangu ni kwamba baada ya kushinda mechi nne tutakuwa mabingwa.
Wito kwa wachezaji , viongozi na hasa benchi zima la ufundi ni kwamba hakuna kulemba kila mechi ni fainali tuweke historia nyingine
ASANTE SANA BWANA CM KWA HUO MSIMAMO,TUNAOMBA UPDATE YA MARA KWA MARA.
TUNAKUSHUKURU
Jamani vipi mambo huko Mbeya??
Masikia Half time tupo nyuma 2-0 and Mnyama yuko magoli 4 mbele...
Jamani ya kweli hayo? ..., acheni kutupandisha pressure huku..., hebu tupeni habari kamili.
Cm tunaomba fixture yote ya Raundi ya Pili.., kama Ngumu basi angalau mechi za Yanga tu
Yanga inaongoza 1-0. Mfungaji ni Chuji.
Simba wameshinda 2-0
CM
Post a Comment