Sunday, January 18, 2009

Msimamo wa ligi kuu ya Vodacom

Huu ni msimamo wa ligi kuu ya Vodacom baada ya mechi za wikiendi hii.

6 comments:

Anonymous said...

Kama Kagera watachemsha tena basi tunahitaji mechi nne kwa mabingwa ila mpaka sasa tunahitaji mechi sita na hakuna timu ambayo itaweza kutufikia ila utabiri wangu ni kwamba baada ya kushinda mechi nne tutakuwa mabingwa.

Anonymous said...

Wito kwa wachezaji , viongozi na hasa benchi zima la ufundi ni kwamba hakuna kulemba kila mechi ni fainali tuweke historia nyingine

Anonymous said...

ASANTE SANA BWANA CM KWA HUO MSIMAMO,TUNAOMBA UPDATE YA MARA KWA MARA.
TUNAKUSHUKURU

Anonymous said...

Jamani vipi mambo huko Mbeya??
Masikia Half time tupo nyuma 2-0 and Mnyama yuko magoli 4 mbele...

Anonymous said...

Jamani ya kweli hayo? ..., acheni kutupandisha pressure huku..., hebu tupeni habari kamili.
Cm tunaomba fixture yote ya Raundi ya Pili.., kama Ngumu basi angalau mechi za Yanga tu

Anonymous said...

Yanga inaongoza 1-0. Mfungaji ni Chuji.

Simba wameshinda 2-0

CM