Sunday, February 22, 2009

CHAN 2009


COTE D'VOIRE vs ZAMBIA


SENEGAL vs TANZANIA

40 comments:

Anonymous said...

zambia wanaongoza 3=0 bado dakika 2

Anonymous said...

Zambia wamefanya mechi yetu za Ivory Cost iwe ngumu zaidi na watafanya senegal wacheze kwa makini zaidi. Kazi ipo.

Anonymous said...

Mhh mpira umeisha 0-1 hizo mbili nyingine wamefunga baada ya mpira kuisha?

Anonymous said...

http://www.cafonline.com/competition/african-nations-championship_2009/results-fixtures

CM said...

Ivory Coast imechapwa 3-0 na Zambia katika mchezo wa ufunguzi uliomalizika hivi punde

Anonymous said...

mpira umeisha zambia 3 ivory coast 0 hiyo tv uliokuwa unatazama mpira gani?

Anonymous said...

LINE UP ITAKAYOIVAA SENEGAL MUDA MFUPI UJAO:

1. DIHILE
2. NSAJIGWA
3. JABU
4. NADIR
5. SWEDI
6. BONNY
7. JOSEPH
8. NIZAR
9. TEGETE
10. NGASSA
11. HARUNA

CM said...

Dakika ya 30 tumepachikwa bao.

Anonymous said...

Online inapatikana

www.sunutv.com

Channel RTS1

Anonymous said...

Online inapatikana

www.sunutv.com

Channel RTS1

Anonymous said...

Ameingizwa Mgosi...

Anonymous said...

Kwa ujumla stars wanacheza mpira mzuri na wanajiamini sana utafikili ni timu zoefu ila kuna makosa madogo madogo.

Anonymous said...

Mapumziko tuko nyuma kwa bao 1.

Anonymous said...

FT: tumechapwa 1-0

Anonymous said...

Nimeongea na watu wengi hapa niliokuwa naangalia nao mpira kwa kweli hawaamini kama ili ni Tanzania. Vijana wanacheza mpira wa kujiamini sana. Kuna tatizo moja ambalo mimi binafsi nimeliona. Senegali walituzidi kidogo ufundi ndani ya uwanja hasa jinsi walivyokuwa wanakaba katika hali kama hile hata kocha hawezi kubadilisha kwa dk. 10 za mapumziko. Tunahitaji mtu mmoja ambaye anauwezo wa kubadilisha mpira ndani ya uwanja bila maelezo ya kocha kama alivyokuwa kizota (RIP).

Anonymous said...

Matokeo ya leo
RD Congo VS Libya 2-0
Ghana Zimbabwe 2-2
Kesho tunacheza na wenyeji. Tuombe mungu Senegal amfunge Zambia kwani hata sisi tulifungwa na Ivory Cost bado tutakuwa na nafasi ya kusonga mbeli kwani panga pangua Senegal lazima atacheza kufa na kupona atakapocheza na Ivory Cost kwani upinzani wao ni kama Yanga na Simba.

Anonymous said...

kuna habari zozote za ivory coast?
vipi stars leo?

Anonymous said...

jamani si leo tunacheza vipi huko?

Anonymous said...

jamani si leo tunacheza vipi huko?

Anonymous said...

baada ya saa toka sasa

Anonymous said...

Senegal na Zambia hawajafungana na hayo matokeo ni mabaya sana kweli kwa upande mwingine kwani tukifungwa tumeanga. Angefungwa mmoja ngoma bado ingekuwa mbichi. Ila ni mazuri kama tukishinda kwani tutajenga nafasi nzuri ya kufuzu. Dro siyo nzuri sana kwani itabidi tumfunge Zambia 3 - 0 ili tufuzu.

Anonymous said...

Stars 1- Ivory Coast 0 mfungaji Mrisho Ngassa

http://www.paddypower.com/bet?action=go_betlive_event&ev_id=1362015

Mahenge,
Syracuse, N.Y

Anonymous said...

Mungu Ibariki T-Stars, matokeo yaishe mazuri namna hiyo.

Anonymous said...

Bado 1-0, dk ya 88
Mahenge,
Syracuse, N.

Anonymous said...

mpira umekwishaaaaaaa Starz 1-COTE D'VOIRE 0000000

Anonymous said...

Wowwwwww, I can't believe Tanzania imemtoa mwenyeji mashindanoni. Hongereni sana vijana wa Maximo. Moto huo huo hadi final. Inabidi kumpiga bao Zambia na kusonga mbele.

Anonymous said...

Zambia wahindi wetu lazima tuwabamize..watakoma

aggy said...

hongera stars tanzania hoooyeeeeeeeee

Anonymous said...

jamani vipi mradi wetu, umefikia wapi? je kazi imeanza? I hope hapa watu tuko serious si kijiweni

Anonymous said...

Mdau hapo juu na wengine, jiungeni na wenzio ktk http://sports.groups.yahoo.com/group/yangasc/join

au tume email kwenda yangasc-subscribe@yahoogroups.com

usaidie kazi, maana bila wewe, then nani?

Anonymous said...

tunaomba yakipatikana matokeo ya gemu ya stars mutupatie,
thanks

Anonymous said...

Wazee chama vipi matokeo huko ivory coast mbona kimya? tupeni matokeo jama.

Anonymous said...

Nimeangalia kwenye tovuti ya CAF inaonyesha ya kuwa mechi zote mbili zimeisha kwa sare ya 0-0. Kwa maana hiyo basi Watanzania tunarudi nyumbani

Anonymous said...

1/8th final round
GROUP A
02-22-2009 Cote d'Ivoire 0 - 3 Zambia
02-22-2009 Senegal 1 - 0 Tanzania
02-25-2009 Zambia 0 - 0 Senegal
02-25-2009 Tanzania 1 - 0 Cote d'Ivoire
02-28-2009 Cote d'Ivoire 0 - 0 Senegal
02-28-2009 Zambia 0 - 0 Tanzania
Group A
Team MP W D L GF GA GD Pts
Zambia 3 1 2 0 3 0 3 5
Senegal 3 1 2 0 1 0 1 5
Tanzania 3 1 1 1 1 1 0 4
Cote d'Ivoire 3 0 1 2 0 4 -4 1


tumetolewa, 0-0 mechi zote mbili

Anonymous said...

moderator,
Vipi mbona kimia hakuna kweli habari za Yanga? hata kutupa kinachoendelea na mataarisho ya mechi na waarabu?

Anonymous said...

mpira wa leo vipi?

Anonymous said...

CM likizoni au?

Anonymous said...

Yanga imeshinda 3-0, pata matokeo hapa;
http://mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=10561

Mdau wa Yanga; Syracuse,NY

Anonymous said...

sitoacha kusema mmembania bure kijana ngasa kwenda Norway heti dhamani yake ni usd 800000!!mchezaji toka bongo nchi isiyojulikana ktk ulimwengu wa soka hiuze mchezaji kwa pesa hiyo miujiza hiyo,hata wanaigeria huanzia uko kwanza ktk nchi dogo[mikel wa chelsea]alinunuliwa norway kwa usd 50000 baada ya kuonekana thamani yake ikazidi au nonda aliaanzia wapi?pls tumwanchie Ngasa aende norway hiyo ndo njia pekee ya yeye kuingia ktk ligi kubwa za ulaya,tunajidanganya kwa mchezaji wa tz leo hii kuanza direct kucheza England,italy au France,jamaa wa norway bado wanamuuitaji ngasa kwa usd 50000 na wanasema yanga hawatoi ushilikiano ktk jambo hili.

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___