Sunday, August 23, 2009

Ligi Kuu ya Vodacom

Vumbi kuanza kutimka leo
Kinyang'anyiro cha kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom inatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo katika viwanja mbalimbali.

African Lyon vs Yanga
Majimaji vs Simba
Kagera Sugar vs Azam
Toto African vs Moro Utd
Prisons vs JKT Ruvu
Mtibwa Sugar vs Manyema

13 comments:

Anonymous said...

vipi matokeo hadi sasa

CM said...

dakika ya 51 Yanga wamepata bao la kwanza kupitia kwa Jerson tegete

Anonymous said...

asante CM vipi mechi zingine mikoani?

CM said...

Mtibwa 2 Manyema 1
Majimaji 0 Simba 2

CM said...

African Lyon wamesawazisha katika dakika ya 87.

African Lyon 1 Yanga 1

CM said...

Full time 1-1

john kubinga said...

asante kaka ligi bado safari ndefu

Anonymous said...

CM said wewe vipi, Lyon ndiyo walikuwa wa kwanza kupata goli na yanga wamesawazisha, tuwape wadau habari za kweli.

CM said...

Mdau uliyesema Yanga ndiyo ilisawazisha naomba ufanye utafiti wa kutosha before posting your comment.

Miaka yote hii blog huwa inatoa results kwa jinsi mchezo unavyoendelea uwanjani.

Ukweli unabaki kwamba Yanga ilitangulia kufunga, kisha Lyon wakasawazisha katika dakika za mwisho.

Anonymous said...

naona bora mayanga sasa mkakodi wachezaji wa kike itakuwa afadhali

Anonymous said...

hebu simba onyesha mfano basi.

Anonymous said...

Breaking News: Kocha wa Yanga amehamua kuondoka rasmi nchini kesho. Jamani habari ndiyo hiyo. Kwa mtazamano wangu naona mambo siyo mazuri ndani ya timu, wiki chache zilizopita Manji alivunja mkataba wa kumlipia pale New Africa Hotel, tukaona suala la hawa wachezaji wa kulipwa wamegoma kuhamia Jengoni, Jana kocha katoa lawama kuwa anaingiliwa katika upangaji wa timu, jamani hali mbaya hii.

Anonymous said...

ana haki huyo condic kungoza yanga sawa nakuongoza walevi kila mtu anapwayuka kisa ana domo jiende hamwana shukrani hao hata washinde ,mara mia bado manji nae kwao: