Toto Africa vs Yanga
Yanga imefanikiwa kuichapa Toto Africa 1-0 katika mchezo uliomalizika hivi punde.
Bao pekee la Yanga limefungwa na Mrisho Ngassa.
Kwa ushindi huo, Yanga imefanikiwa kufikisha pointi 14.
Bao pekee la Yanga limefungwa na Mrisho Ngassa.
Kwa ushindi huo, Yanga imefanikiwa kufikisha pointi 14.
17 comments:
Yanga inaongoza 1-0
sasa 2-0 tunaongoza
maskini phiri !je unaisikia hiyo.
itakuwaje maskini phiri wakati anatanua na timu yake.anaongoza ligi na jumapili anazoa pointi 3 zingine na kuendelea kupaa.
Usijali hata mkifungwa na Mnyama mtakata rufani Uhuru sio mchezaji halali hivyo mtapata pointi za bure.Ushindi wa mezani upo msijali.
yes mbona hachezi?hizo mil 8 zimeenda chooni.
cm tupe ukweli humu nasikia harufu za mnyama tuu!!!!!! kazi kweli kweli!!!!!!!
itakuwaje maskini phiri wakati anatanua na timu yake.anaongoza ligi na jumapili anazoa pointi 3 zingine na kuendelea kupaa.
Mnayama kapiga mtu tena.
poini 21 safi.mnyama mkali sana.
Mnyama anatisha kwa kweli.Tusipokaa cizuri tunakwenda na maji.
Wamejiandaa sana mwaka huu, kama sisi tulivyokuwa mwaka jana. Ligi bado...
Mtasema sana yebo yebo, Mnyama anazidi kutafuna tu Ngrrrrrr!
Tunawasubiri October 23 ndo mtajua kama maharage ni mboga au kiungo. Mnyama anatisha nyie
Oooooops, October 31 sio 23
Mbona mmekaa kimya sasa, kuchonga kumeishia wapi. Yanga kweli watu wa kupiga domo, Eti Sendeu sijui sendeku, anadai kuwa hizo pointi 7 atazipata kwa mfumo wa kuifunga simba mechi mbili na ataiombea simba itoke draw na kufungwa na timu zingine. Subiri tuone hiyo tarehe 31 October, kama mtapata pointi tatu, au ndo gap itaongezeka kwenda pointi kumi (10) LOL :)
baada ya 31 October, Sendeu itabidi aje na plan B badala ya kuropoka, LOL:
Post a Comment