Kampeni ya Tusker kuanza leo
Yanga leo itaingia uwanjani kupambana na Mafunzo ya Zanzibar katika michuano ya Tusker pambano litakalopigwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini.Michuano hiyo ya Tusker ambayo ilianza mwanzoni mwa wiki hii inashirikisha timu sita ambazo ni Yanga, Simba, Mtibwa Sugar na Mafunzao kutoka Tanzania pamoja na Tusker na Sofapaka za Kenya.
Timu hizo sita zimegawanywa katika makundi mawili; Sofapaka, Mtibwa Sugar na Simba wanaunda kundi A huku kundi B likishirikisha vilabu vya Yanga, Mafunzo na Tusker ya Kenya.
Mechi zilizochezwa hadi sasa:
Kundi A - Sofapaka vs Mtibwa (3-1), Simba vs Sofapaka (0-0).
Kundi B - Tusker vs Mafunzo (2-1)
31 comments:
matokeo vipi bado?
naona sisi tuliopo nje ya nchi matokeo tuyangoje ktk mwananchi hii blog simba wamemkera mhusika amekuwa hatupashi live
Tunaongoza 3-0 hadi hivi sasa. Magoli yamefungwa na Jerry Tegete 2 na Mrisho Ngassa.
ahsante ndugu hapo juu
Kuna matokeo yasiyo rasmi ambayo nimeyapata kwamba tumeshinda 6-0.
Jerry Tegete (3)
Mrisho Ngassa (2)
Boniface Ambani(1)
Yanga imeichapa Mafunzo ya Zenji mabao 6-0.
Magoli yamefungwa na Tegete(3), Ngassa(2) na Ambani (1)
mubaraki...ubingwa wa yanga tu..mnyama nguvu kaishiwa
haa!!!!! haaaaa!!!!!! nani kaua yangaa yanga!!! asanteni vijana wa jangwani hakuna kudharau timu, hodi hodi mnyama
mdau italy
kwanza kabla ya kushangilia tujiulize hivi mafunzo ni kipimo kweli kizuri? maana tusije furahia tukajikuta tunaaibishwa, nauliza kwa sababu soka ya zenji haieleweki iko kiwango gani
sherehe ni sherehe we umeona jinsi gani wazenji walivyotutesa ktk chalenj kubali kataa wako juu zaidi yetu yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
nasikia mnyama kalala leo...kuna ukweli jamani
Simba imeibuka na ushindi wa 2-1 na hivyo kushika nafasi ya pili katika kundi A.
Endapo Yanga itatoka sare au kushinda katika mchezo wa kesho, itakutana na Simba J'tano.
Simba kafungwa
Simba imeibuka na ushindi wa 2-1 na hivyo kushika nafasi ya pili katika kundi A.
Endapo Yanga itatoka sare au kushinda katika mchezo wa kesho, itakutana na Simba J'tano.
vipi matokeo leo..nasikia tumekubali kufungwa ili kumkwepa mnyama..tuwekee matokeo hapo basi
cm mpira ni mpira toa matokeo kufungwa jambo la kawaida tumezoea kwetu ndio dawa
wewe hapo juu mbona unashikilia matokeo yanga kufungwa ? acha zako
sasa kama vipi toa matokeo basi
cm laptop imeeibiwa?? mbona kimya
mwacheni CM jamani msiwe na wasiwasi ubingwa utatua jangwani...aweke asiweke matokeo simba na yanga watakutana tuu msiogope....
Yanga 1 VS Tusker 1
Goli limefungwa na Ambani
Yanga 3 Tsker 1
Jumatano ni Simba na Yanga
jee hiyo umeisikia ngoma ya papic? bado wewe .
tatazi humu kuna miharufu ya mnyama basi kaaaaaaziiii kweli kweli!!!!!!!!!!!
sio papic hata nguru, kwa simba una mgoma utakula kibao kile kile
utaniambia siku hiyo babu ,mbona haraka mpira si unadunda.
echesa amesema timu anayoiogopa ni yanga kamuulize yeye sasa hayo maneno atakwambia .
yanga-tusker finali.
sio achesse mpaka boban kanambia walibahatisha ck ile mavi mu mchupi, wasije kuonekana wamepewa mpunga watakavyoshindwa j5. ni miteja yetu mambo yenyewe ni kukomaaa hakuna phill wala philps tunapiga chini
hahahahah,najihisi mtu mwenye raha sana hasa baada ya kuona hizi msg na ninahisi mchezo wa tar.26 utakuwa MTAMU sanaaaa.i cant wait to go!.MUNGU IBARIKI YANGA!
nipo huku naombea timu yangu ishinde nataka tumkate mnyama
lazima alale
Post a Comment