Hatimaye siku ya siku imefika ambapo watani wa jadi Yanga na SImba wanakutana leo katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Tusker itakayopigwa kwanye uwanja wa Taifa Dar es Salaam
. Pambano hilo linakuja siku 54 tu baada ya kukutana mara ya mwisho katika mchezo wa raundi ya kwanza ya ligi kuu ya Vodacom ambapo Simba ilishinda kwa 1-0. Timu zote mbili zimetamba kuibuka na ushindi katika mchezo huo.
Yanga wanajivunia rekodi yao nzuri katika michuano hya mwaka huu ya kupachika mabao tisa (9) katika mechi mbili. Mashabiki wa Simba kwa upande wao wanaipa nafasi timu yao kwa vile imepita licha ya kupangwa katika kundi gumu lililojumuisha mabingwa wa Kenya - Sofapaka na Mtibwa Sugar ya Tanzania.
Hadi sasa msahmbuiaji Jerry Tegete anaongoza kwa ufungaji kwa kupachika mabao 5 akifuatiwa na Mrisho Ngassa (2). Mchezaji pekee ambaye yupo katika hatihati ya kucheza kwa upande wa Yanga ni Nurdin Bakari ambaye ni majeruhi.
Tusubiri dakika 90.
. Pambano hilo linakuja siku 54 tu baada ya kukutana mara ya mwisho katika mchezo wa raundi ya kwanza ya ligi kuu ya Vodacom ambapo Simba ilishinda kwa 1-0. Timu zote mbili zimetamba kuibuka na ushindi katika mchezo huo.
Yanga wanajivunia rekodi yao nzuri katika michuano hya mwaka huu ya kupachika mabao tisa (9) katika mechi mbili. Mashabiki wa Simba kwa upande wao wanaipa nafasi timu yao kwa vile imepita licha ya kupangwa katika kundi gumu lililojumuisha mabingwa wa Kenya - Sofapaka na Mtibwa Sugar ya Tanzania.
Hadi sasa msahmbuiaji Jerry Tegete anaongoza kwa ufungaji kwa kupachika mabao 5 akifuatiwa na Mrisho Ngassa (2). Mchezaji pekee ambaye yupo katika hatihati ya kucheza kwa upande wa Yanga ni Nurdin Bakari ambaye ni majeruhi.
Tusubiri dakika 90.
68 comments:
Leo tukifungwa ni bakora mtindo mmoja
CM tupe line up
leo bakora ile ile 1-0
kulikoni?
dk 23 bado 0-0
dk 23 bado 0-0
CM tupe mambo humu kuna harufu ya mnyama! ukweli mdogo hata kama tumeumia we toa,
mdau italy
tuliyeni wazee msiwe na presha...matokeo yatawekwa humu ndani
dakika 35 bado ni 0-0
halftime 0-0
Yanga imetawala 1st half lakini washambuliaji hawakuwa makini kufunga.
Ni kweli Yanga wamebadilika, wanacheza pasi nyingi
mnyama lazima aliwe huyo!
kadi za njano:
Amir Maftah na Mrisho Ngassa (YANGA)
Emmanuel Okwi na Kelvin Yondani (Simba)
LINE UP - Yanga
1. Berko
2. Nsajigwa
3. Maftah
4. Mbegu
5. Nadir
6. Bakari
7. Ngassa
8. Chuji
9. Tegete
10. Abdi
11. Kiggi
Chama la ushindi hilo jamani...halafu list ya leo imejaa watoto wa nyumbani ukiacha huyo kipa Berko,wengine wote watoto wa home!!!
Tupeni raha Yanga,ushindi wenu ndo zawadi ya Christmas kwetu mashabiki!!!
dk 60 bado 0-0
Kipa Mzungu anaingia badala ya Berko. Berko ameumizwa na Mgosi.
mbona kimya jamani...tupeni update basi mliyokuwa nyumbani...ushindi wetu tuu leo...
hapa nilipo nishapatwa na homa ya baridi tujulisheni jamaa ngapi ngapi
jamani mpira unatangazwa au la?
leo naona sarafu imesimama ngoma 0-0, mpka dk mbili zilizopita kuna mdau kanitumia text msg toka bongo
dakika ya 67 tumepata bao
Jerry Tegete
inshaallah na la pili ngasa
Yangaaaaaaaaaaaaa 1- mnyama bila, Mdau Mahenge, Wilbert, Syracuse, N.Y
msaliti Barasa anaingia badala ya Mgosi dk ya 74 bado tunaongoza 1-0
dakika 79 Simba wamerudisha kwa tuta ni 1-1 Hilary Echesa
dk 85 bado 1-1
kuna extra time au ndio matuta tena...hiyo tuta ya mnyama ilikuwa halali
cm uko wapi?
kaseja atatumaliza kwenye matuta leo
Inshaallah yanga 5 simba3 yanga fainali napaka
kilikoni tena cm lete habari kaka mpaka nione nembo yako ntaamini
dakika 90 zimekwisha 1-1
matuta sasa....
tujiandae...naona kipa mzungu ataokoa jahazi leo
sasa jamani tukilala bakora zitatembea au vipi?
bakora kamchape mkeo unasikia
sawa sawa watu wengine mahisabu yao si ya mpira kila wakiwaza bakora na wizi
sawa sawa watu wengine mahisabu yao si ya mpira kila wakiwaza bakora na wizi
tupo kwenye extra time sasa dakika ya 92
ah!
dakika 30 extra time imeanza...
good luck young boys
hayo matuta vipi?
kipindi cha kwanza cha extra time kimemalizika bado ni 1-1
dk 110 Red card Haruna Moshi
huyo mabange kwanza kajitahidi kufika bila card!
nidhamu hamna kila mechi na yanga lazima waonyeshwe card
dakika ya 119 Shamte Ally anaipatia Yanga bao la pili.
Yanga 2 Simba 1
uzi huo huo
sherehe, hata tukosa ubingwa ushindi huu utatukomboa na kelele za hao wa-pungu
Mnyama amelala 2-1.
Mpira umekwisha.
Yanga kucheza fainali na Sofapaka.
Ngoja tuwahi kanisani sasa
asante mola wangu.
Ahsante clinton kazi tumeona raundi ya pili ya ligi mambo yatakuwa mzuri sana washalewa bia ya crismass
YANGA HUREEEEEEEEEEEEE!
HERI YA XMAS NA MWAKA MPYA MASHABIKI WOTE WA YANGA POPOTE MLIPO DUNIANI. MLIOKO BONGO NAJUA MAJUKWAA NI YENU USIKU WA LEO!
YANGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
asante sana cm kwaheri mnyama! bado moja
asante sana cm kwaheri mnyama! bado moja
asante sana cm kwaheri mnyama! bado moja
bora tufungwe na nyau sio simba mzee! nani kaua yanga! nani kaua yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanga!
nilisema bobani kasema alibahatisha
bora tufungwe na nyau sio simba mzee! nani kaua yanga! nani kaua yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanga!
nilisema bobani kasema alibahatisha
Jamani Mboni Rahaaaaa!!!!!Yanga..Yanga..Yanga..Yanga..Yanga..Yanga Yanga!!!
Goli 2-1 myama yupo chalii anatapatapa....!!!
kudadadadeki sasa jama wanangu Christmas ndo imeanza!
Zawadi niliyokuwa nasuburi kutoka kwa Santa imeingia tena wakati muafaka...mboni rahaaa!!
Yanga oYee!!!
Kazi nzuri sana CM!mwenyezi akupe nguvu na maisha mema.
Jamani wanayanga itabidi tuidiskasi hiyo rahu ya Mgosi mpaka Berko akashindwa kuendelea,mii nahisi ni hujma zao simba wakizani mchawi wao ni huo kipa,kumbe mzee Papic ndio masterplan!mlioona mtupe details kama ilikuwa accidentally or intetionally tafazali!
HAPPY BIRTHDAY SIMBA SPORTS CLUB AU WANA WA MSIMBAZI
MDAU ITALY
Fisi wa kike huwa hawakosekani humu!
jama na nyie simfungue yakweni mpeane hizo besdei zenu huko??!Kha!!
Fisi wa kike huwa hawakosekani humu!
jama na nyie simfungue yakweni mpeane hizo besdei zenu huko??!Kha!!
Kesho Manji will confirm to be our next Club President....
ndugu hii coment ishajaa tupe tafsiri maana raha inazidi walitamba sana sasa naona huko nyumbani mnyama woote washalala
jana niliangalia mechi kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya 124.Yanga imelamba kwa kumpata papic.Mpira wanaocheza Yanga kwa sasa hawajawai kuucheza zaidi ya miaka kumi.Yanga inacheza mpira wa kueleweka sasa hivi,hata Simba wenyewe wamekubali kwamba msimu huu Yanga ni balaa.Jana Yanga wangetulia wangewapiga Simba hata 6 bila lakini hawakuwa makini kidogo ndo maana tukapata hayo ma2.Yanga sasa hivi wana pumzi ya kucheza hata dakika 200.Jana kuanzia dakika ya 110 Simba walikuwa wanaomba mechi iishe,yaani walichoka ile mbaya.Kweli timu yetu inatia matumaini sana hata hao wakongo kwenye klabu bingwa hawatatusumbua hata kidogo.Tusubirini jpili tuwanyoe hao Sofanyau,kama mnyama tumemnyoa sharubu NYAU ndo atatushinda.KILA LA HERI YANGA.MERRY XMAS WANAYANGA WOTE.
HONGERA VIJANA KWA KAZI NZURI. SALAMU ZAKE KASEJA KWANI ALISHADAI HATUWEZI KUIFUNGA SIMBA IWAPO YEYE ATAKUWA GOLINI,LABDA JANA PIA HAKUWA YEYE GOLINI. PIA HUYO MROPOKAJI BARAZA SASA AMEPATA AIBU YEYE MWENYEWE NA TIMU KIMEO ALIYOKUWA AKIISIFIA. ASANTE SANA WACHEZAJI WOTE PAMOJA NA mR.CLINTON TUMEKUKUBALI BABA.
Simba siku zote Walikuwa wanadai mechi yao na Yangaichezeshwe na mwamuzi kutoka nje juzi wamefungwa wanamlaumu mwamuzi oohh kwa nini kamwonyesha erd card Boban. Hawjui kwamba timu yao ni ya wavuta bangi kuanzia kocha na ndio maana akiingia kocha mwenye kujali nidhamu hamalizi mwezi
Wamelala wamelala hao wamelala mwamelala hao well Yanga wanagusa kama sio wao na wana Ari yaani mambo yakiwa hivi wakinusa sijui mapinduzi secon round yote wanachapwa
Yanga Imara
Post a Comment