Wednesday, February 03, 2010

Ligi Kuu ya Vodacom

Shughuli kuendelea leo

Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea leo katika viwanja mbali mbali. Michezo itakayopigwa leo ni:

Yanga vs JKT
Kagera Sugar vs Simba
Mtibwa vs Majimaji
Toto vs Manyema

16 comments:

Anonymous said...

lazima tuwapigishe kwata

Anonymous said...

lazima tuwapigishe kwata

CM said...

sekunde ya 45

Yanga 1 JKT 0 - Mrisho Ngassa

CM said...

Half time

Yanga 1 JKT 0

CM said...

Huko Kagera mambo bado 0-0 - halftime

CM said...

huko Bukoba: Simba 1 Kagera 0

CM said...

Huko Bukoba 1-1 mpira unaendelea

Anonymous said...

naona hao wana msimbazi ni mwaka wao..tukubali mnyama bingwa mwaka huu...
asante CM n

Anonymous said...

wewe unaesema mwaka wao ni mnyama tena tusikusikie tena humu ndani nyama we!!!!! °çé*°§§§°° U mijitu mingine bwana

CM said...

FULL TIME:

KAGERA SUGAR 1 SIMBA 1

Kwa msimu wa tatu mfululizo Kagera Sugar imefanikiwa kuharibu rekodi ya timu ambazo zilikuwa zimeshinda mechi zote.

2007/08 - Prisons
2008/09 - Yanga
2009/10 - Simba

Anonymous said...

Yanga vipi?

Anonymous said...

cm toa rada

Tina said...

rada ya nini si yanga kashinda 1-0

Anonymous said...

Aminia CM. Nakuaminia kaka. SGM-USA . Nadhani umenielewa.

CM said...

nimekupata SGM

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___