Blogu binafsi kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga popote pale ulimwenguni kubadilishana mawazo na kupashana habari
Thursday, February 18, 2010
Yanga vs Kagera Sugar
Baada ya kuwakilisha taifa mwishoni ya mwa wiki, Yanga leo inaumana na Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom itakayopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru.
kwa kweli timu haikucheza vizur hasa sehemu ya kiungo. Abdi Kassim anatuangasha sana. kwa kweli inabidi abadilike. maana ashirikiani na wenzake katika kukaba. na hata pasi hatoi za uhakika. ila kwa ujumla Mnyama akae chonjo.
13 comments:
sema kaka cm macho yte ktk msg zako wanasemaje wakata miwa?
Halftime bado ni 0-0
naona wakongo wametupoozesha hamna matokeo mpaka hivi sasa
usijali mvua ipo ya magoli
humu hata wakiingia simba na kusema wayatakayo sababu ni kuwa wahusika wanakaa kimya !!!!!
full time
Yanga 2 Kagera 1
wafungaji
Ngassa dk 57 na Chuji dk 90
Nsajigwa - red card
shukurani, jamani vipi hiyo website bado tu?
jamani vipi myama kajikwaaa? maana mpaka sasahivi naendelea kutia ubani wa dua mbaya
Simba 4 Moro 1 sijui kama huko ndio kujikwaa.
hakuna wakumzui mnyama mwaka huu.tujipange mwakani maanake lupopo watatufunga jumamosi

Post a Comment