Wednesday, March 24, 2010

Obren aelekea 'bondeni'

WIKI mbili kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga, klabu hiyo ya Mtaa wa Twiga na Jangwani imeondokewa na kipa wake namba moja, Obren Curkovic aliyekwenda kwa majaribio nchini Afrika Kusini.

Kwa habari zaidi gonga hapa

10 comments:

Gray said...

duh! wachezaji wetu vipi?! mbona katika kipindi hiki ndio wanapelekwa nje?! maana baada ya mechi ya mnyama kukaribia ndio mipango inaiva. inabidi kuliangalia kwa makini japo ni kwa maslahi yao. Yanga kwanza.maana kama Obren haieleweki anakwenda wapi kwa muda gani?! viongozi nao wawe makini maana haya masuala ya mikataba yasiwe kwa Yanga tu. inasemekana mgosi na Okwi mikataba imekwisha na Simba mbn wenzetu wako kimya?! na wachezaji wanatumiwa?!
VIONGOZI KUWENI MAKINI!

Anonymous said...

Msianze hapa, kwani mlikuwa hamjui kuwa mikataba yao ilikuwa inakaribia kwisha? kama bado mlikuwa mnawahitaji kwanini hamkuongeza mikataba yao na kuboresha maslahi yao? Acheni uswahili waacheni wakatafute maisha sehemu nyingine YEBOYEBO WAMEFULIA!!

Anonymous said...

Mhh hapa kuna walakini na mdudu yuko ndani ya Yanga wenyewe mpaka siku patakaposafishwa pale itaendelea kuwa hivi hivi

Anonymous said...

Kwanini wachezaji wetu wa Yanga mara nyingi huwa wanashidwa kwenye majaribio tofauti na wale wa Watani zetu ambao huwa wanapeta!
Naomba wadau tulijadili hili ili kipi kifanyike nao wao waweae kufanikiwa ktk majaribio yao japo hivyo viligi daraja la kwanza sio mbaya kuanzia.
Kazi kwenu Wadau?

Anonymous said...

Wachezaji wa watani wetu wazuri zaidi ya kwetu kazi misifa kwenye magazeti lakini ukweli ukidhihiri hamna lolote.

Anonymous said...

kwani wachezaji wa Simba wanachezea timu za maana?? Timu za dola 500?
Wachezaji waliopitia Yanga ndio waliowahi chezea timu za maana angalia Nonda Shaban.

Anonymous said...

yeboyebo bado mpo karne ya ujima,wachezaji wenu hata wakipata timu hao viongozi wenu mbumbumbbu wanawabania kisa mpaka mcheze na simba ndo watoe ruksa,mfano mzuri tegete kapata timu sweden yanga imegoma kutoa kibari mpaka acheze mechi ya simba,bila tegete hamuwezi kushinda?hamkeni waacheni vijana wajitafutie masoko nje plz,simba ilimruhusu boban week moja kabla ya mchezo wa yanga kwenda ktk majaribio na tuliwatungua kama kawa.

Anselm said...

Huyo Obren hana issue wala nini,aende akafie popote anapojisikia kwani jana ameni'bore sana....atafungwaje magoli ya kizembe namna ile?
Ku****e zake!

Anselm said...

Watu wanakazana kurudisha magoli yeye anakazana kuruhusu magoli ya Wapinzani wetu,huu si us***e huu?

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___