Thursday, March 25, 2010

Yanga 1994
Hiki ni kikosi cha Yanga mwaka 1994. Wenye kumbukumbu kazi kwenu.

9 comments:

Anonymous said...

golkipa mfaume athumani ,

Excomta said...

Hamis Kinye, Edibily Lunyamila, Mohamed Hussein, Kenneth Mkapa, Sekilojo Chambua, Said Mwamba, Idd Moshi. Nimetaja bila mpangilio maalum. Tukumbushane jamani.

Anonymous said...

Ingawa sio mshabiki wa Yanga, nafikiri nawakumbuka baadhi ya wachezaji.
Top row, left to right: ?, Ally Yusuph "Tigana",?, ?, Kenneth Mkapa, ?, Said Zimbwe?, Said Mwamba "Kizota", and Stephen Casmir Nemes.
Bottom row, left to right: Willy Martin, Mohammed Hussein "Mmachinga", ?, Jobe Ayoub "Kwassakwassa", Sanifu Lazaro "Tingisha", Edibily Lunyamila, and Willy Mtendawema.

Kumradhi kama nimekosea.

John Mwaipopo said...

hapo mnyama ilikuwa lazima ale zake jua liwake mvua inyeshe. how i miss this yanga!

Excomta said...

Nimefurahishwa na mwanamichezo aliyesema kuwa yeye si mshabiki wa Yanga lakini amejaribu kutukumbusha majina kama inavyoonekana hapo juu kabla ya Bw. John Mwaipopo. Huyu ni mfano wa wanamichezo wanaotakiwa kuigwa. kwani pamoja na kuwa yeye si mshabiki au mpenzi wa yanga, ametumia nafasi yake kama mwanamichezo aliyestaarabika kutoa mchango wake bila kutumia lugha ya matusi wala kejeli za kuudhi kama ambavyo wengine wamekuwa wakifanya. Nampongeza sana.

Anonymous said...

Ahsante sana Excomta.
Kwa kweli ingawa mie ni mshabiki wa Simba, lakini mara nyingi huwa ninakuja kwenye website yenu kuweza kupata updates za Simba!! Mie ni mwanamichezo nawapenda wachezaji wanaocheza vizuri wawe wa Simba, Yanga au timu nyingine. Kati ya wachezaji ninaowapenda sana Tanzania wakati wa ujana wangu alikuwa Edibily Lunyamila na Athumani China. Ndio maana nikawakumbuka baadhi yao. Hatuna haja ya kutukanana wala kukejeliana. Mwisho wa siku wote ni wanamichezo. Ahsanteni sana kwa updates zenu.

Excomta said...

Asante Mtani, tuwasiliane Exmius@gmail.com

John Mwaipopo said...

uanamichezo sio uadui. ndio maana nje ya uwanja tunashirikiana katika misiba, harusi, jando na kadhalika.

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___