Ingawa sio mshabiki wa Yanga, nafikiri nawakumbuka baadhi ya wachezaji. Top row, left to right: ?, Ally Yusuph "Tigana",?, ?, Kenneth Mkapa, ?, Said Zimbwe?, Said Mwamba "Kizota", and Stephen Casmir Nemes. Bottom row, left to right: Willy Martin, Mohammed Hussein "Mmachinga", ?, Jobe Ayoub "Kwassakwassa", Sanifu Lazaro "Tingisha", Edibily Lunyamila, and Willy Mtendawema.
Nimefurahishwa na mwanamichezo aliyesema kuwa yeye si mshabiki wa Yanga lakini amejaribu kutukumbusha majina kama inavyoonekana hapo juu kabla ya Bw. John Mwaipopo. Huyu ni mfano wa wanamichezo wanaotakiwa kuigwa. kwani pamoja na kuwa yeye si mshabiki au mpenzi wa yanga, ametumia nafasi yake kama mwanamichezo aliyestaarabika kutoa mchango wake bila kutumia lugha ya matusi wala kejeli za kuudhi kama ambavyo wengine wamekuwa wakifanya. Nampongeza sana.
Ahsante sana Excomta. Kwa kweli ingawa mie ni mshabiki wa Simba, lakini mara nyingi huwa ninakuja kwenye website yenu kuweza kupata updates za Simba!! Mie ni mwanamichezo nawapenda wachezaji wanaocheza vizuri wawe wa Simba, Yanga au timu nyingine. Kati ya wachezaji ninaowapenda sana Tanzania wakati wa ujana wangu alikuwa Edibily Lunyamila na Athumani China. Ndio maana nikawakumbuka baadhi yao. Hatuna haja ya kutukanana wala kukejeliana. Mwisho wa siku wote ni wanamichezo. Ahsanteni sana kwa updates zenu.
8 comments:
golkipa mfaume athumani ,
Hamis Kinye, Edibily Lunyamila, Mohamed Hussein, Kenneth Mkapa, Sekilojo Chambua, Said Mwamba, Idd Moshi. Nimetaja bila mpangilio maalum. Tukumbushane jamani.
Ingawa sio mshabiki wa Yanga, nafikiri nawakumbuka baadhi ya wachezaji.
Top row, left to right: ?, Ally Yusuph "Tigana",?, ?, Kenneth Mkapa, ?, Said Zimbwe?, Said Mwamba "Kizota", and Stephen Casmir Nemes.
Bottom row, left to right: Willy Martin, Mohammed Hussein "Mmachinga", ?, Jobe Ayoub "Kwassakwassa", Sanifu Lazaro "Tingisha", Edibily Lunyamila, and Willy Mtendawema.
Kumradhi kama nimekosea.
hapo mnyama ilikuwa lazima ale zake jua liwake mvua inyeshe. how i miss this yanga!
Nimefurahishwa na mwanamichezo aliyesema kuwa yeye si mshabiki wa Yanga lakini amejaribu kutukumbusha majina kama inavyoonekana hapo juu kabla ya Bw. John Mwaipopo. Huyu ni mfano wa wanamichezo wanaotakiwa kuigwa. kwani pamoja na kuwa yeye si mshabiki au mpenzi wa yanga, ametumia nafasi yake kama mwanamichezo aliyestaarabika kutoa mchango wake bila kutumia lugha ya matusi wala kejeli za kuudhi kama ambavyo wengine wamekuwa wakifanya. Nampongeza sana.
Ahsante sana Excomta.
Kwa kweli ingawa mie ni mshabiki wa Simba, lakini mara nyingi huwa ninakuja kwenye website yenu kuweza kupata updates za Simba!! Mie ni mwanamichezo nawapenda wachezaji wanaocheza vizuri wawe wa Simba, Yanga au timu nyingine. Kati ya wachezaji ninaowapenda sana Tanzania wakati wa ujana wangu alikuwa Edibily Lunyamila na Athumani China. Ndio maana nikawakumbuka baadhi yao. Hatuna haja ya kutukanana wala kukejeliana. Mwisho wa siku wote ni wanamichezo. Ahsanteni sana kwa updates zenu.
Asante Mtani, tuwasiliane Exmius@gmail.com
uanamichezo sio uadui. ndio maana nje ya uwanja tunashirikiana katika misiba, harusi, jando na kadhalika.
Post a Comment