Watatu Yanga kwenda nje
Wachezaji watatu wa Yanga wataondoka muda wowote kuanzia sasa kwenda nje ya nchi kwa majaribio ya kucheza soka la kulipwa.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Yanga Louis Sendeu, wachezaji watakaoondoka ni Jerry Tegete, Razak Khalfan na Ally Msigwa.
Sendeu amesema Tegete anatakiwa na Dalkurd FF ya ligi daraja la pili nchini Sweden huku Razak akitakiwa na klabu ya Vancouver White Caps anakosukumia gozi kaka yake Nizar Khalfan na Msigwa yeye akitakiwa na timu ya Highlanders ya Marekani.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Yanga Louis Sendeu, wachezaji watakaoondoka ni Jerry Tegete, Razak Khalfan na Ally Msigwa.
Sendeu amesema Tegete anatakiwa na Dalkurd FF ya ligi daraja la pili nchini Sweden huku Razak akitakiwa na klabu ya Vancouver White Caps anakosukumia gozi kaka yake Nizar Khalfan na Msigwa yeye akitakiwa na timu ya Highlanders ya Marekani.
20 comments:
hongera sana wachezaji hawa ,sasa huyu kocha akabhiziwe jukumu la usajili tunataka yosoo tuu sio majeruhi kutoka asia
mnyama kaumia leo atake asitake utanambia cm
mdau ufipani
mnyama kaumia leo atake asitake utanambia cm
mdau ufipani
mnyama anaongoza 1-0 tayari.ata hiyo hela chafu ya fisadi manji mliyomwaga kwa azam haitamzui simba kuchukua ubingwa.mlie tu
mziki bado ubingwa sahau leo labda baada ya mechi yetu mungu
kijijini ufipa,
fisadi wewe,baba yako na babu yako haya lete kichwa tena we mbwa koko.
Simba 2 Azam 0 Dakika ni ya 85. Fisi wote kimyaaaaa!! Mkono haudondoki huo mlie tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
Achimenengule mpooooo?????????????????
cm lete mziki hapo mie niko kijijini ufipa nipe raha kama kweli mnyama kamwagiwa lamba toto
kijijini ufipa
Simba imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Voda baada ya kuichapa Azam FC 2-0 katika mchezo uliomalizika hivi punde
Yaani wewe bado huamini?? Mnyama kachukua ubingwa tayari, mlie tu!!!!
Yanga nyinyi ni wakubwa fitina kwenye soka ya Tz lakini ukija kwenye uchezaji ni zero. kwenu nyinyi ni kupeleka pingamizi CAF na mambo mengine ya kipuuzi lakini mpira hamna. Muacheni mnyama atambe sasa ktk anga ya kimataifa
haya simba bingwa sasa tutaona mnalofanya .
SIMBA BINGWA!!!! YEBOYEBO ZZIIIIIII!!
mmebana mmeachia,sasa mkacheze kinesi cup manzense,mkae mkijua ubingwa hauta kuwa mzuri mpaka tuwatungue nyie mabwege YEBOYEBO.
Kuweni wanamichezo wa ukweli. Hivi hamuwezi kusema jambo bila kutukana!?.
hawa jamaaa wanajulikana kwa kutukana wenziwe hamta endeleea kamwe.
Msishanbae simba ni timu ya waarabu na waarabu wanapenda kushikashika makalio ya wenzao ndio maana washabiki wao wanatukanatukana sana (nadhani mnakumbuka stori ya mchezaji mmoja kukutwa na shanga akiwa kambini)
Du! hayo na makubwa na tusiyaingilie wala kuyashabikia hayatuhusu. Kama ni ya kweli ni ya kwao sisi tugange yetu.
Haya, ubingwa tushaugawa tufanyaje sasa? Nashauri tuwe makini kwenye usajili wetu mwaka huu. Kila mtu afanye kazi yake ipasavyo. Kocha aachiwe majukumu yake, viongozi nao watekeleze majukumu yao, Wapenzi na wanachama tutoe ushirikiano pindi inapobidi. Inapobidi tusione aibu kujifunza kutoka kwa wengine. Umoja na Mshikamano iwe Ngao yetu.
Mwaka huu tulikuwa na tatizo la kocha mwanzoni. Yule Kondic hakuwa kocha bali tapeli fulani kula hela ya Manji tuu. Mwaka ujao kama tukimpa lungu Papic jamaa watalia tuu. Tena tutatangaza mapemaa kama kwaka jana mechi sita kabla wakati wao wametangaza mechi mbili kabla. Bado tuna rekodi.
Post a Comment