Monday, March 15, 2010

Yanga vs Moro Utd

Yanga leo jioni inapambana na Moro United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania utakaopigwa katika Uwanja wa Uhuru.

Yanga tayari imejihakikishia nafasi ya pili katika ligi hiyo wakati Moro Utd ipo katika vita kubwa ya kupuka kushuka daraja.

Tusubiri dakika 90.


7 comments:

Anonymous said...

Usisahau kutupatia matokeo. Tunayasubiri kwa hamu. Hata kama tumepoteza ubingwa, ushindi kwetu ni muhimu sana!

Anonymous said...

vipi ngoma nzito au?

CM said...

tunaongoza 3-0. 2nd half ndiyo imeanza

Anonymous said...

asante ndugu yetu.

CM said...

FT: Yanga 3 Moro Utd 0

Ngassa 2 & Ambani

Amosam said...

Naomba nifahamishwe tawi la Yanga lililopo hapa Dodoma lipo eneo gani kwani tunataka kulipia kadi zetu za uanachama

Unknown said...

Hellow Matola, Vipi habari ya UDOM. A very nice view of our Largest University. I like it. I am at MU

CM tusaidie kupata jibu la Amosam hapo juu. Au yeyote aliye Dodoma au anyejua tawi la yanga lilipo pale Dodoma atusaidie kumjulisha mwanataaluma huyu wa Udom.