Saturday, April 10, 2010

Mapato yazipeleka Yanga, Simba Aprili 18

SUALA la mapato limeendelea kutia dosari soka ya Tanzania baada ya serikali kuingilia kati na kuahirisha mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba lililokuwa ichezwe kesho kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam sasa utachezwa Jumapili ijayo.

Kwa habari zaidi cheki hapa

1 comment:

Anonymous said...

Nasikia tena mechi imepelekwa usiku!. Hapa kuna kitu tuu kwani hawakujua mapema kuwa uwanja utakuwa unatumika kwa kitu kingine (riadha) jioni? Kwanini hawakuifanya mechi ichezwe jumamosi? Halafu Mwakalebele eti anasema kuwa usiku wananchi wengi watajitokeza kwa kuwa si muda wa kazi! kwani jumapili kuna tatizo hilo. Hapa mimi naona mnyama anatapatapa tuu. Akima Madega nadhani hawako makini kabisa na hii mechi. Jumapili huwa ni siku ya Simba, Yanga huwa Jumamosi.
Amka baba..


Kinu