Friday, April 16, 2010

Pambano sasa kupigwa jioni

Hatimaye pambano la watani wa jadi Yanga na Simba limerudishwa nyuma na sasa litaanza saa 10.30 jioni badala ya saa 2 usiku.

74 comments:

Anonymous said...

Yanga musubiri kichapo tu, Midebwedo Jangwani.
Mgosi 2, Baraza 1
Simba 3 Yanga 0

Anonymous said...

izo za mamaako utajuta kuzaliwa siku hiyo wewe mdomo kama tarumbeta

Anonymous said...

Yanga kama embe "bolibo" kila mtu analitamani kulila lakini mlaji ni mmoja tu nae ni SIMBA WA NYIKA.

Mnalo hilo!!!!

Anonymous said...

ya nini kuandikia mate na wino upo firi kashaliona hilo kakwepa lawama

Anonymous said...

stupid you the first, above.

CM NISAIDIE KUMSHTUA NDG MWAMBE, NAMTAFUTA NIMEPOTEANA NAYE KIMAWASILIANO.
IT IS ME BASILI

CM said...

Simba inaongoza bao 1

Anonymous said...

duh kwani mpira imeshanza

CM said...

dakika ya 31 Yanga imesawazisha kupitia kwa Chuji

Anonymous said...

nani kafunga?

Anonymous said...

duh kwani mpira imeshanza

Anonymous said...

huyo anayeuliza mpira ushaanza yuko dunia gani?

Anonymous said...

Nazitakia timu zote mchezo mzuri wenye ushindani na amani

Anonymous said...

Safi sana CM , SGM hapa. la Simba kafunga nani maana mfungaji bora pia tuna vita nao.

Anonymous said...

mfungaji wa simba uhuru selemani dk 4

CM said...

Half time 1-1

Simba ilianza kupata bao ktk ya 4 kupitia kwa Uhuru Selemani.

Yanga imesawazisha katika dk ya 31 baada ya piga nikupige langoni mwa Simba.

Anonymous said...

Ok safi sana CM. Kipa wetu nani leo? Ngassa anacheza? SGM

CM said...

Kikosi cha Yanga leo:
1. Obren
2. Nsajigwa
3. Maftah
4. Wisdom
5. Nadir
6. Chuji
7. Nurdin
8. Babbi
9. Ambani
10. Ngassa
11. Kiggi

Anonymous said...

Huyo Ambani hawezi funga hapo angekuwa Tegete

CM said...

dk52 Yanga 1 Simba 2

Mgosi

CM said...

dk 58 Yanga down to 10 men Wisdom Ndlovu -second yellow

Anonymous said...

Hapo ndo basi tena hatuwezi

Anonymous said...

Mbona bado mapema? Natumaini mashabiki wa Yanga wameenda na kapu uwanjani tayari kwa kubeba magoli watakayofungwa

CM said...

dk. 67 Super Sub Jerry Tegete anasawazisha 2-2

Anonymous said...

safi sana . Nilisema mimi Tegete ndie anaweza funga huyo Ambani wamuache tuu msimu ujao hana kitu

Anonymous said...

Hapo sasa anatakiwa aingie Shamte Ali. Yanga inahitaji kusajili mabeki pia msimu ujao.

CM said...

dk 74 Yanga 2 Simba 3

Musa Mgosi tena

Anonymous said...

Nimesema hatuna kabisa mabeki, ni uozo mtupu

Anonymous said...

kwani unaelewa hilo leo?

CM said...

dk 85 Yanga down to 9 men - Amir Maftah given marching orders for head butting Juma Nyoso

Anonymous said...

Unaona hao ndio mabeki wetu bangi kweli!

Anonymous said...

mnatamani angekuwa haruna moshi ili mnge bahatika kumpatia red card.

Anonymous said...

fukuza tuu hawafai.

CM said...

dk 88 Jerry Tegete anasawazisha kwa penalti.

Ni 3-3

Anonymous said...

Haya sasa mpira umewashinda
mnajaribu ndondi? Matumla hana mpinzani ombeni pambano nae!!!!

Anonymous said...

ndio mpira si wakati wa kulaumiana jamaa leo kwao tujipange upya

Anonymous said...

Safi ila hatujafurahia hao wachezaji wetu wasivyokuwa na nidhamu..

Anonymous said...

hizi fadhila za tegete tusemeje?

Anonymous said...

mnatamani angekuwa haruna moshi ili mnge bahatika kumpatia red card.

Anonymous said...

Tegete is a good player hasa akiwa kama substitute. Akianza huwa hana madhara sana.

Anonymous said...

ligi ipo mwishoni mchezaji asiefaa nje inshaallah kocha achukuwe wachezaji wenye vipaji

Anonymous said...

Shit its all over now.

CM said...

dk 90

Yanga 3 Simba 4 - Echesa.

Echesa sent off for 2nd yellow

Anonymous said...

yes kumbe unajua walahi wewe unafaa kua mtabiri.

Anonymous said...

Its all over now, sidhani kama litarudi.

Anonymous said...

kamwe hamtaendelea maana mezoea kubebwa.naƶna refa ataongeza dk 20 ya nyongeza ili mshinde.ubingwa mekosa na mgosi mfungaji bora.kachezeni ndondi na francis cheka

Anonymous said...

At least ubovu umeonekana wapi, ni mabeki tuu ndio wabovu.

CM said...

FULL TIME:

YANGA 3 SIMBA 4

Anonymous said...

wewe Kuna Boko ana mechi mchekea anaweza piga hata tano. Mgosi asubilie tuu.

Anonymous said...

mnatamani angekuwa haruna moshi ili mnge bahatika kumpatia red card.

Anonymous said...

timu inanuka rushwa mpaka viongozi

Anonymous said...

Next! Yanga mdebwedo hawezi shuguli pevu ya Simba. Rudini zenj mkapakwe mafuta ya karafuu! Aluuuuu!!!

Anonymous said...

ok huu ndio mpira ulivyo makosa yalikuwa mwanzo wa ligi hili ni funzo lazima tujiweke tayari ktk msinu ujao wacheni waseme midomo mali yao

Anonymous said...

Tangu lini Yanga na mpira, wao ni kubebwa tu labda wasubiri Kombe la Pombe wanaweza kubahatisha,
sasa Firi engekuwepo si zengefika 10!!

Anonymous said...

Rushwa mnaiona baada ya do 90? Mlikuwa wapi mwanzo?kubalini tu kuwa mwaka huu sio wenu kwani mmevalishwa shanga mara mbili na mnyama

Anonymous said...

mdomo mali yako mtani ongea

Anonymous said...

Simba mnakuja sana humu kwa kuwa hamna teknolojia ya kuanzisha Blogu yenu? Vihiyo wamejaa Simba kweli..

Anonymous said...

Mtajiju! Mpira ni uwanjani mambo ya blog ya nini? Mlichonga sana kombe la tusker sasa semeni!! YEBOYEBO

Anonymous said...

Mimi ninawasi wasi hawa YANGA kule zenj walipigwa MSUSUMIA. Huo MSUSUMIA ni mchezo mchafu, wanaume wanaingiliwa kwa nyuma kimazingara live sio usingizini, utalikuta libaba linacheka tu.

Anonymous said...

Bora kuwa kihiyo lakini ucheze mpira kulikuwa kuwa na blog ya wanandondi

Anonymous said...

Kama mumenuna Blog yenu ifungeni tukose wote, Lakini hii ni ZAMU ya Mnyama kutamba atakavyo, muache Mnyama ateme cheche. Mtajiju

Anonymous said...

Vihiyo njooni tuu muifanye Blogu hii iwe na wafuatiliaji wengi njooni tuu muijaze Blogu kwani hamna Teknolojia vihiyo kibaao na vibaka wamejaa timu yenu. Hii ndio Yanga Afrika hata iweje tutaendelea kuwa Yanga. Na mtakuja sana hapa kwani kwenu hamna kitu.

Anonymous said...

Technologia gani hii,ya Yanga ya kujidai. Ushamba mtupu. Wacha kubadilisha mada tupo na kipigo mpira hamjui mumezoa kubebwa na kuchonga kwy magazeti , ... mukija uwanjani zerooooo... MIDEBWEDO

Anonymous said...

nani kabebwa sasa kama sio nyie? kadi nyekundu mbili.. yaani nyie ndio mnaleta mada ambayo haipo huo ushaidi wa kubebwa huko wapi? ninyi sio wanamichezo kabisa yaani mkifungwa tuu basi timu nyingine imebebwa...ooh sijui nini kwani Yanga kumfunga Simba imeanza leo? tutaona basi hao wamisri kama watabebwa.

Anonymous said...

Yanga ushauri wa Bure, timueni huyo zeru zeru wenu (Wasarbia) njaa kali hawana lolote, wamekuja kuganga nja hapa Bongo. Huyo pipa nasikia ameanza kudoelea ulaji pia Zambia, njaa kali tu hana lolote huyo timua!

Anonymous said...

Ushauri gani huo labda mnawaogopa hao waserbia kwa kuwa wanafumania nyavu zenu kila mchezo. Sasa kwa taarifa yako ndio kwanza wanapewa dau nono la usajili ili kuimarisha kikosi. Sasa wewe unataka kocha asitafute maslahi? Phiri leo akitakiwa na Zanzibar kwa pesa zaidi yenu asiende? Acha uzandiki wewe..

Anonymous said...

YANGA NI YANGA NA ITABAKI KUWA YANGA. HAIWEZI KUWA TIMU NYINGINE NA HATUWEZI KUHAMA. SIKU YETU ITAKUJA TUU. SIMBA NAONA MNACHUKIA MLIDHANI TUTAKUWA WANYOONGE KUFUNGWA LEO. SISI NI WANAMICHEZO TUKIFUNGWA HATUTUKANI MTU SIMBA IKIFUNGWA MPAKA WATU WANACHOMWA VISU.. WENZETU KWELI WASHAMBA SANA.

Anonymous said...

Yanga (Kanda mbili) tangu lini na mpira. Mdebwedo ni kupata kichapo tu, mumepambwa sana kwy magazeti na vyombo vya habari... lakini ss maneno yetu yako uwanjani. Na mumeona kazi ya wanaume..MLIE TU MIDOBWEDO .. KANDA MBILI... KUDADEKI....MALASHI YA UNGUJA.
Mtajiju

Anonymous said...

Unajua maana ya kuandika kwa herufi kubwa? Maana yake ni kuwa unapiga kelele. Shabiki gani asiyehuzunika timu yake inapofungwa? Lazima utakuwa shabiki mdebwedo!

Yeboyebo kubalini tu kuwa Simba kawafilimba nyumbani na ugenini. Jaribuni tena bahati yenu mwakani

Anonymous said...

Hah! Hah! Hah! Eti simba wagomvi. Nani katolewa kwa kumpiga mwenzake kichwa uwanjani?

Jamani raha! Leo yaani roho nyeupee!! Kandambili kabonyezwa kelele kwisha mitaani. Rudini kwa Tajiri yenu mkatoe ripoti ya namna mlivyotumia pesa zake kujifunza ngumi. Walahi minjino lazima aingie mitini kwani pesa kala halfu kaleta mtalii kwa madai eti kocha

Excomta said...

Matusi hayaendelezi soka, toa maoni yako bila kutukana utaonekana umestaarabika na mpenda soka wa kweli. ACHENI HIZO.

Anonymous said...

bonyee!!!!!!!

Anonymous said...

kazi kweli kweli inapokuwa muuza mitumba ndo mwenye akili basi kazi kweli kweli

Anonymous said...

bonyeeeee!!!!!! mtalijua jiji maana mlizidi kuchonga

Anonymous said...

Kweli nimeamini Yanga ina influence sana katika Tanzania kuliko timu yeyote ile. Simba wanafuatilia sana hii blogu na ndio tunataka sana hiyo.Yanga ndio timu iliyotwaa ubingwa wa Tanzania mara nyingi kuliko timu nyingine lazima watu wafuatilie maendeleo yake. Hii safi sana.