Thursday, August 19, 2010

Ngao ya Hisani
Nahodha wa Yanga Fred Mbuna akipokea Ngao ya Hisani kutoka kwa Rais wa TFF Leodgar Tenga baada ya kuifunga Simba kwa penati 3-1.

5 comments:

Anonymous said...

Imetulia! ni mwanzao mzuri, tunapaswa kushikamana ili tuweze kurejesha ubingwa wetu msimu huu, pamoja na kufanya vyema katika michuano ya kimataifa

Anselm said...

Safi sana

Elibariki said...

Hapa Ni kukaza buti mpaka mwisho. Vijana walionyesha kiwango kizuri sana cha mchezo. Tunawasubiri tena round ya 1, tuwape mambo

Anonymous said...

ahsanteni kwa ushindi ila wachezaji pia benchi zima la ufundi sahauni yaliyopita zingatieni yajayo maana kila timu huikamia yanga .yanga mbele nyuma mwiko

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___