Thursday, October 21, 2010

Shughuli kwa JKT leo


BAADA ya kuichapa Simba bao 1-0 katika mchezo wa saba wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga inashuka dimbani leo kucheza na JKT Ruvu katika mchezo utakaochezwa katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro.

Yanga ambao ni vinara wa ligi kuu waliwa na pointi 19 na kuwaacha watani wao kwa pointi 4 leo watakuwa na kazi ya ziada kuwakabili maafande wa jeshi JKT Ruvu ambao wanapointi 11.

Leo kutakuwa kunamichezo miwili ya ligi kuu ambayo ni Yanga na JKT Ruvu na Toto Afrika wakiwakaribisha jirani zao Kagera Sugar katika uwanja wa CCM Kirumba

.

8 comments:

Muganyizi said...

CM habari za leo, kaka tunasubiri kwa hamu kubwa mchezo huo tunaomba yeyote anayeusikilize atuhabarishe mie niko buoba hapa

Muganyizi said...

Jamani vipi kuhusu yule mghana wetu asamoah mbona haanzi kucheza mwenye taarifa za kina naomba atuelezee

Muganyizi said...

jaman matokeoooooooooooo

Muganyizi said...

jamni sie tulioko mbali mnatuonea kutotupa matokeooo mbona hiviiiiiii?

Muganyizi said...

CM bora utafute msaidizi, maana peke yako sasa inakuwa issue

CM said...

mechi imemalizika kwa sare ya 0-0

Anonymous said...

K2 mmedhihirisha mlivyobahatisha J1

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___