Thursday, November 18, 2010

Abdi Kassim aenda Vietnam

Kiungo wa klabu ya Yanga Abdi Kassim ameondoka nchini kwenda katika majaribio ya soka la kulipwa huko Dubai.

Afisa habari wa klabu hiyo, Louis Sendeu alisema Kassim ameelekea nchini humo kwa ajili ya kufanya majaribio na klabu ya Dong Tam Long An ya Vietnam, ambayo ipo nchini Dubai na kuwa yalianza Novemba 11 na yatamalizika Novemba 19 mwaka huu.

Mchezaji wa timu ya taifa, Danny Mrwanda naye anakipiga katika klabu hiyo.

No comments: