Tuesday, February 13, 2007

Buriani Said Mwamba "Kizota"
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Said Mwamba 'Kizota"(41) amefariki dunia juzi usiku baada ya kugongwa na basi la 'daladala'.

Marehemu alikuwa akitoka mpirani kuona mechi ya Simba na Textile de Pungue kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Marehemu ambaye ameacha mjane na mtoto mmoja, alijiunga na Yanga mwaka 1988 akitokea timu ya Tindo ya Tabora.

Mungu ailaze mahala pema roho ya Said Mwamba 'Kizota'

1 comment:

Anonymous said...

Nafurahi na kufarijika kwa mwafaka uliofikiwa kwenye club yetu ya YANGA mpaka sasa na matokeo mazuri yanayoendelea kuonyeshwa na vijana wetu.
Pia napongeza ujio wa cocha mpya MICHO.
Nipende tu kuomba wote wanaoendelea na mwafaka kujua na kutambua KUWEPO NA KIKUNDI CHEMA kwa timu na club yetu YANGA FAMILLY !!! HAWA MUMEWAWEKA WAPI KATIKA MWAFAKA ????kumbukeni mengi mema ambayo yanga familly wamefanya na wanaendelea kufanya. HII NI CHANGAMOTO KWENU WAHUSIKA WA MWAFAKA.