Tusker Challenge Cup 2008
KUNDI A
URA vs Mtibwa Sugar ...1-0
Yanga vs URA ......1-0
Yanga vs Mtibwa Sugar (December 20)
KUNDI B
Tusker vs Prisons .........2-0
Simba vs Prisons............2-0
Simba vs Tusker.............(December 21)
URA vs Mtibwa Sugar ...1-0
Yanga vs URA ......1-0
Yanga vs Mtibwa Sugar (December 20)
KUNDI B
Tusker vs Prisons .........2-0
Simba vs Prisons............2-0
Simba vs Tusker.............(December 21)
31 comments:
naona mnyama kaaza kazi tuombe tukutane nae fainali...
Nyie mtafungwa tuu, vipi Kagoda FC.... naona sasa mpo kimya hamna tena majigambo, wachezaji wanadai mishahara
yanga ina hela hata ziwe za nani,nyie simba mpaka misaada hata huyo hilal kama hakuondoka na ubaya utaniambia wewe pashkuna wa kizenji.
HELLO CM VIPI KIBALI CHA BARAZA KIMEFANYIWA KAZI? HEBU TUAMBIE TAFADHALI SANA.
Kibali imeota Mbawa....Yeye pamoja and Shikokoti wamesharudi Nairobi...Upuzi na ujinga wa viongozi tulinayo....ahhhhhhhhhh
Mtibwa wanaongoza kwa bao 1-0. Goli limefungwa katika dakika ya 8 ya mchezo na Zahoro Pazi (mtoto wa Iddi Pazi)
Hilo bao bado halijarudi tu?
HT: Bado 0-1
lakini hata tukifungwa si tumeshaingia nusu fainali au laaa...vipi line up leo???
Tuahitaji angalau sare. Tukifungwa 0-1, timu zote zitakuwa sawa kwa point na magoli ya kufungwa na kufunga, sasa sijui waandaaji watumia kanuni gani kupata timu 2 za kuendelea.
Tukifungwa zaidi ya goli moja, tutakuwa tumetolewa kwa goal difference!
normally huwa wanapanga team alpabebtically kwa mantiki hiyo tutayaaga mashindando...
Inarushwa shillingi.Tumelala 1-0.
Mpira umekwisha kwa kipigo cha 1-0. Timu 2 zitakazofuzu kutoka kundi A zitajulikana baada ya kupigiwa kura kesho.
CM
Yanga out...... hayo ndiyo matokeo.... hakuna timu hapo
mkiambiwa yanga inaongozwa kienyeji mnasema wivu ,mwenye akili na aelewe ila ukiwa bisha bishana sawa,habari ndo hiyo!!!!
Mtibwa na Uganda wamepita, hamna timu hapo, hatuna Mwenyekiti pale
Wamepitaje wakati timu zote zina matokeo sawa? Acheni wivu wenu...
Shillingi imerushwa tumetolewa.
wachezaji walikuwa akina nani?
si niliwaambia hatuko tayari kwa hili kombe tujitoe mkanibishia aibu tu tumeambulia.
Yanga wamejifungisha wasicheze na simba. Mtibwa nayo timu?
acheni kuuliza wachezaji walikuwa nani...mpira umekwisha, tushalala hakuna mwenyekiti wala nani..ujinga tuuu..nae huyo Manji kalala...upuzi tuuu
Manji hayupo Yanga tena, wewe hujui hilo
au mlikuwa mnawaogopa simba???
Hao wanaolaumu Mwenyekiti na Manji, kwani mwenyekiti anacheza namba ngapi? Kama kuna timu isiyo na uongozi basi ni 'hiyo ya kwako' ambayo kila baada ya miezi miwili inakuwa na kocha mpya.
Yanga ikitolewa si sababu ya uongozi au kocha, ni kwamba wachezaji hawakuwa pamoja kwenye maandalizi ya haya mashindano.
Na huyo anayekereketwa na Manji ahamie kwake akaole** nay maana inaonekana huwezi kuchangia kitu hapa bila kumtaja!
si nasikia shiling itarushwa leo.
sasa iweje yanga katolewa?
Hebu tufahamisheni..
si nasikia shiling itarushwa leo.
sasa iweje yanga katolewa?
Hebu tufahamisheni..
Matokeo ya shillingi vipi??CM tunaomba jibu.
hakuna jipya yanga zaidi ya majigambo ya kijinga timu yenye wachezaji bora wote wa ukanda huu bado longolongo ,hata ukiwa na akili timamu utagundua timu hata ktk ligi ilikua bomu na ushindi wa kubahatisha tu,timu ya milion 900 ,mnapoteza pesa kusajiri wakenya alafu awachezi uongozi bomu linalosubili kulipuka ,nina wasiwasi na uanasheria wa m/kiti kama si wa kununua ,mwanasheria gani hajui sheria huyo?timu iko mwaka mzima pamoja kukosa wachezaji kwa week moja si kigezo,mfumo wa uchezaji ni uleule na mazoezi walipata kule nation timu, ondoa kocha na uongozi wote pambavu kabisa.
mdau hapo juu umesahau kumalizia na neno "WIZI MTUPU"
Hakuna timu isiyofungika duniani hata iwe na mastaa wote. Wewe anony wa 3:32:00 vurugu unazoiombea Yanga zikujie wewe mwenyewe. Ushindwe na ulegee.
Post a Comment